Democrats na unafiki huu......

Democrats na unafiki huu......

The Boss

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2009
Posts
49,320
Reaction score
117,653
Jana niliona kwenye news Marekani wataacha kutoa misaada
South Africa ya madawa ya ARV kwa waathirika
kiukweli mwisho wake wataacha kabisa hata kwa nchi zingine

kwa ujumla Obama amepunguza misaada kwa nchi za Africa mno
George Bush alitoa misaada mno na ndo alianzisha programme
maalum za kusaidia wagonjwa wa HIV Africa

Clinton na Obama jumla ya misaada yao Africa haifiki hata robo ya Bush
na ukiacha hilo hata VISA za kuingia Marekani kusoma au kutalii tu
chini ya Bush ni zaidi ya mara mbili chini ya Obama

huwa waafrika tuna kawaida ya kuwafagilia Democrats but
mostly ni chama cha maneno meengi na propaganda but hawana
lolote kiutendaji
data zinaongea ukweli......Bush was way better than Obama kwa Africa
 
Pengine hii inaweza kutusaidia sisi Waafrica kufikiria kwa kutumia vichwa vyetu vikubwa, badala ya kufikiria kwa kutumia vile vichwa vidogo ili tuweze kujikomboa wenyewe!.
 
labda...but mbona Israel wanawasaidia tu sana kila mwaka?
yeye Obama haoni aibu?
 
Leo umewachenjia kibao Democrats? Maajabu ya mwaka haya!
 
Hawa watu wanafiki mno
saa hivi visa hazitoki ubalozini
wakati wa Bush alimleta balozi anaitwa Robert Aroyal
Visa zilitoka bila usumbufu but wameingia democrats watu wana sifa zote na pesa juu ya kusoma USA
but visa imerudi enzi za Clinton....tabu tupu
na ukisoma hizi za kukata funds ndo unashangaa
 
Demaocratic wanatupa amani ya mawazo tuu, lakini Republican ya Bush ilikuwa far better.
Lakini pia ni njia ya kutufanya tuyafikirie matatizo yetu kwa akili zetu!
 
jana niliona kwenye news marekani wataacha kutoa misaada
south africa ya madawa ya arv kwa waathirika
kiukweli mwisho wake wataacha kabisa hata kwa nchi zingine

kwa ujumla obama amepunguza misaada kwa nchi za africa mno
george bush alitoa misaada mno na ndo alianzisha programme
maalum za kusaidia wagonjwa wa hiv africa

clinton na obama jumla ya misaada yao africa haifiki hata robo ya bush
na ukiacha hilo hata visa za kuingia marekani kusoma au kutalii tu
chini ya bush ni zaidi ya mara mbili chini ya obama

huwa waafrika tuna kawaida ya kuwafagilia democrats but
mostly ni chama cha maneno meengi na propaganda but hawana
lolote kiutendaji
data zinaongea ukweli......bush was way better than obama kwa africa

unasema hawana lolote kiutendaji kwakuwa wametunyima sisi omba omba ila kama tungepewa ungewasifia
 
Jana niliona kwenye news Marekani wataacha kutoa misaada
South Africa ya madawa ya ARV kwa waathirika
kiukweli mwisho wake wataacha kabisa hata kwa nchi zingine

kwa ujumla Obama amepunguza misaada kwa nchi za Africa mno
George Bush alitoa misaada mno na ndo alianzisha programme
maalum za kusaidia wagonjwa wa HIV Africa

Clinton na Obama jumla ya misaada yao Africa haifiki hata robo ya Bush
na ukiacha hilo hata VISA za kuingia Marekani kusoma au kutalii tu
chini ya Bush ni zaidi ya mara mbili chini ya Obama

huwa waafrika tuna kawaida ya kuwafagilia Democrats but
mostly ni chama cha maneno meengi na propaganda but hawana
lolote kiutendaji
data zinaongea ukweli......Bush was way better than Obama kwa Africa

Halafu kumbuka Republican wali end slave democratic walikataa .Obama is not loyal at all Dr Jeremiah wright amempiga kibuti,kenya ndio huko haendi,bibi yake aliyemlea (adopt) mzungu na kumsomesha kwa mikopo private expensive school na baadae kumwita bibi yake " a typical white woman " na kuanza kumfagilia mama mkwe,
 
labda...but mbona Israel wanawasaidia tu sana kila mwaka?
yeye Obama haoni aibu?

Mnashangaa nini hao wadogo Zake Hali Yao .clinton kaka ake drug addict alivyoshinda urais tu team ya Watu walikuwa wana mchunga ili asimuabishe kaka ake .obama aunt take Zeituni alitafuta Makaratasi wewewe .Bush alivyoondoka akahakikisha shangazi yake amepata green card kabla hajaondoka ili Usiwe issue .Wakati Huo shangazi yake anaenda courtini walimuuliza Obama the candidate wa uraisi Obama alisema arudi Kenya .Obama na kikwete akili zao sawa watch hii trip
 
kauli yako ya mwisho imenikumbusha mzee flani naye uwa anapenda sema hivyo kuwa obama na j.k akili yao sawa tofauti yao wanaongoza nchi 2 tofauti
 
Kwani States kuna nini cha maana si mkae tuu home life is better kuliko wengi wanavyofikiria,huku ni bills tuu za kupasua kichwa,life US sio rahisi
 
Mnashangaa nini hao wadogo Zake Hali Yao .clinton kaka ake drug addict alivyoshinda urais tu team ya Watu walikuwa wana mchunga ili asimuabishe kaka ake .obama aunt take Zeituni alitafuta Makaratasi wewewe .Bush alivyoondoka akahakikisha shangazi yake amepata green card kabla hajaondoka ili Usiwe issue .Wakati Huo shangazi yake anaenda courtini walimuuliza Obama the candidate wa uraisi Obama alisema arudi Kenya .Obama na kikwete akili zao sawa watch hii trip

Wewe na phony politics zako mpaka hata unachoandika wewe mwenyewe huelewi...punguza kusikiliza hizo rightwing media zinakuharibu kichwa.
 
Jana niliona kwenye news Marekani wataacha kutoa misaada
South Africa ya madawa ya ARV kwa waathirika
kiukweli mwisho wake wataacha kabisa hata kwa nchi zingine

kwa ujumla Obama amepunguza misaada kwa nchi za Africa mno
George Bush alitoa misaada mno na ndo alianzisha programme
maalum za kusaidia wagonjwa wa HIV Africa

Clinton na Obama jumla ya misaada yao Africa haifiki hata robo ya Bush
na ukiacha hilo hata VISA za kuingia Marekani kusoma au kutalii tu
chini ya Bush ni zaidi ya mara mbili chini ya Obama

huwa waafrika tuna kawaida ya kuwafagilia Democrats but
mostly ni chama cha maneno meengi na propaganda but hawana
lolote kiutendaji
data zinaongea ukweli......Bush was way better than Obama kwa Africa

Mkuu lini mtaacha kuitegemea serikali tena ya nchi nyingine?????
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Back
Top Bottom