witnessj
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 28,838
- 47,741
Ni alimnanga jamaa anajiita saint Murano na uzi wake wa kutapeliwa ndo watu wakachukia wakamtolea povuuaisee...jamaa hakumfanyia fair nilitaka nijue chanzo ni nini mpaka huyo jamaa akamfanyia hivyo

Though pia sikufurahishwa na udhalilishaji kwa huyo dada na nilitumia nguvu kubwa kunyamazisha mtifuano uliokuwa unawaka kama volcano







