Demiss amepotelea wapi?

Demiss amepotelea wapi?

Wanakusingizia kumbe😂😂
Tutamshitaki ohoo
😂😂 ana kilanga huyo member. Na hajaanza leo, ni tokea 2019 ila sina hakika kama ni huyo huyo au vipi.

Kumshitaki? Namlia ugali dona na sato tu.
 
Back
Top Bottom