Lusungo
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 29,492
- 42,564
Yalishapita na tuliombana msamaha... ila hana spidi kama aliyokua nayo mwanzo.Alimuanika na Nini?
Juzi Kati hapa kaandika Uzi wa mambo yenu ya madanga ya pm huko
Yalishapita na tuliombana msamaha... ila hana spidi kama aliyokua nayo mwanzo.Alimuanika na Nini?
Juzi Kati hapa kaandika Uzi wa mambo yenu ya madanga ya pm huko
Hivi Mzigua90 yuko wapi?@manengelo
@mbitiyanza
@mangari wathai
Manengelo, mbitiyanza, mangai waathari ni mtu mmoja anaebadili I'd kila akipata janga humu.
Humu watu wabaya sana aisee!
Ngoja aje na I'd yake nyingine anichambeeee maana binti ana kisirani yule na mjuaji balaa, Ila mpambanaji kwa namna anavyoelezea hustle zake......
Lodge au kwenye jengo bovu.Wangari aka changamsha genge.Alijifanya google kila kitu anajua alaf kila nchi anampango wa kwenda mbaya zaid akawa anajiona mpambanaji kuliko wana JF wote sasa kilicho mkuta tulijua hadi lodge aliyoenda kugegedwa mara ya mwisho kumbe anaishi kwa ujuzi wa katikati ya miguu
Jamaa alimpeleka kwenye jengo bovuLodge au kwenye jengo bovu.Wangari aka changamsha genge.
Ndiyo hivyo Mumy..Mimi wala sijaamini hata kidogo, nahisi ni uongo
Siji huko PM wala nini.. Foka nikuoneDear,nikufokee hapa au unakuja PM ?

Si wa kiwango kile alichokua anajipaisha humuKwahio mtoto jasi sana
Tena la CCM na alivyokuwa aipendi CCM.Jamaa alimpeleka kwenye jengo bovu
😂😂😂😂 ni vituko.Aiseee
Kwahiyo wewe umekuwa huyo Muzine
HahahaNashauri Mshana Jr afungwe jela maisha haiwezekani toka nimekomenti asubuhi mpk Sasa Uzi Bado unatembea ...
Hizi tuhuma hazitofautiani na zile za Sabaya..ha haaaa

DuhYupp Mirembe.
Mshana alimpiga kipapai baada ya kuachana ikapelekea kuanza kuokota makopo

Nilivyosoma tu kichwa Cha habari nikasema wifi yangu huyu anatafutwa wapi kakaNilijua tu sitasalimika kwenye hii mada
Mahaba mahabani
Ila yupo humuHuyu dada alizabangwa ile kinoma humu jf