deiwaka tafadhari

deiwaka tafadhari

BrazakakaBura

Member
Joined
Feb 16, 2017
Posts
88
Reaction score
104
Majiraniii,, heshima kwenu poleni na harakati za hapa na pale,
kwa wema tu wakuu kama kuna sehemu kuna mtingo wa aina yoyote au kazi yoyote iwe ngumu au rahisi naomba tushikane mkono wakuu,, napatikana tegeta,,
aidha nawashukuru sana wana forum maana nilikuwa mmwaga zege mzuri sana ila nilidumu kuomba ushauri hapa na kufanikiwa kujiunga chuo apo ifm sasa ni rikizo narudi kwenu ndugu zangu,,
JF for life [emoji110]️
 
Back
Top Bottom