Ukitaka kusoma degree nzuri ambayo itakurahisishia kufanikiwa katika malengo yako nenda chuoni ukasomee hapohapo . Hizi degree za open university haziaminiki kabisa. Utagraduate ukiwa shallow kabisa
Pole ndugu kwa fikra potofu ambayo wengi mnayo, hata mimi nlkua na fikra kama wewe, na bht nzuri nimesoma mfumo tuliuozeawa kukaa campus chuoni, lkn then sasa nmekuja kugundua kile nlichokua nakipata kule tulikozoea na OUT ni sawa tu,na umahiri wa graduate hauko determined na Chuo, ila na graduate mwenyewe, unaweza kuta kamaliza Degree OUT akawa sawa au zaidi kuliko wa aliekaa kampasini and vice versa.
so tukariri story za zamani, bali tuelewe mifumo, Serikali sio wajinga kuruhsu mifumo yote ya conventional na Distance Learning same as Duniani kote hlf ww individual hujui mfumo mwingine ukoje unaanza just criticizing wkt u r just a layman on that area. Elimika