Degree ya Chuo Kikuu Huria cha Tanzania inachukuliwa kwa muda gani?

Na foundation course ipo ndani ya ile miaka utakayosomea degree au yenyewe inajitegemea?msaada please
 
Foundation course ni mwaka mmoja .ila waweza kusoma miezi sita na ukamaliza.kuhusu mitihani utafanya ya aina mbili Luna main timed test hii wanachukua marks 30 na annual examination ambayo ni marks 70.mtt ni febuary na annual ni may.
 
je kuna utaratibu wa kutoa cheti baada ya kusoma miaka miwili yaani ukisoma miaka miwili upewe advanced diploma of something
 
Ukitaka kusoma degree nzuri ambayo itakurahisishia kufanikiwa katika malengo yako nenda chuoni ukasomee hapohapo . Hizi degree za open university haziaminiki kabisa. Utagraduate ukiwa shallow kabisa
Nimepitia course zinazotolewa na Chuo Kikuu Huria ni kama tu vyuo vingine, ila nimejaribu kuuliza muda gani inachukua mtu kusoma degree course na kuhitimu. Je ni miaka 3 kama vyuo vya kawaida?

Maana kuna mtu nimuuliza akaniambia ni miaka 5 minimum na 7 maximum kuhitimu Degree, naomba mwenye kuelewa anisaidie.

Karibuni.
 
Ukitaka kusoma degree nzuri ambayo itakurahisishia kufanikiwa katika malengo yako nenda chuoni ukasomee hapohapo . Hizi degree za open university haziaminiki kabisa. Utagraduate ukiwa shallow kabisa
Sahihi kabisa nakuunga mkono
 
Ukitaka kusoma degree nzuri ambayo itakurahisishia kufanikiwa katika malengo yako nenda chuoni ukasomee hapohapo . Hizi degree za open university haziaminiki kabisa. Utagraduate ukiwa shallow kabisa
Pole ndugu kwa fikra potofu ambayo wengi mnayo, hata mimi nlkua na fikra kama wewe, na bht nzuri nimesoma mfumo tuliuozeawa kukaa campus chuoni, lkn then sasa nmekuja kugundua kile nlichokua nakipata kule tulikozoea na OUT ni sawa tu,na umahiri wa graduate hauko determined na Chuo, ila na graduate mwenyewe, unaweza kuta kamaliza Degree OUT akawa sawa au zaidi kuliko wa aliekaa kampasini and vice versa.
so tukariri story za zamani, bali tuelewe mifumo, Serikali sio wajinga kuruhsu mifumo yote ya conventional na Distance Learning same as Duniani kote hlf ww individual hujui mfumo mwingine ukoje unaanza just criticizing wkt u r just a layman on that area. Elimika
 
Back
Top Bottom