Mbona ni km inazidi manake dploma ni million na lak 6Ni kama laki 9 na kitu hivi kwa mwaka,
Lakin pia unit ni 60,000 kama sijakosea
Nimepitia course zinazotolewa na Chuo Kikuu Huria ni kama tu vyuo vingine, ila nimejaribu kuuliza muda gani inachukua mtu kusoma degree course na kuhitimu. Je ni miaka 3 kama vyuo vya kawaida?
Maana kuna mtu nimuuliza akaniambia ni miaka 5 minimum na 7 maximum kuhitimu Degree, naomba mwenye kuelewa anisaidie.
Karibuni.
Sahihi kabisa nakuunga mkonoUkitaka kusoma degree nzuri ambayo itakurahisishia kufanikiwa katika malengo yako nenda chuoni ukasomee hapohapo . Hizi degree za open university haziaminiki kabisa. Utagraduate ukiwa shallow kabisa
Pole ndugu kwa fikra potofu ambayo wengi mnayo, hata mimi nlkua na fikra kama wewe, na bht nzuri nimesoma mfumo tuliuozeawa kukaa campus chuoni, lkn then sasa nmekuja kugundua kile nlichokua nakipata kule tulikozoea na OUT ni sawa tu,na umahiri wa graduate hauko determined na Chuo, ila na graduate mwenyewe, unaweza kuta kamaliza Degree OUT akawa sawa au zaidi kuliko wa aliekaa kampasini and vice versa.Ukitaka kusoma degree nzuri ambayo itakurahisishia kufanikiwa katika malengo yako nenda chuoni ukasomee hapohapo . Hizi degree za open university haziaminiki kabisa. Utagraduate ukiwa shallow kabisa