F.c.mwanzi
Member
- Apr 1, 2013
- 65
- 17
Habari zenu wadau; nimeleta uzi huu ili nipate kufahamishwa zaidi.Hivi ni vyuo vyote hutowa academic certificates mwezi wa 3 au mwezi wa 4,na Transcipts mwezi wa 11 ??? kama chuo cha SAUT kinavyo fanya. Binafsi huu utaratibu unanikela sana coz tunashindwa kutuma maombi ya kazi hasa zile za serekali kwa kutokuwa na hivyo vyeti ni bora wangekuwa wanavitoa huo mwezi wa 11 siku ya graduation wanapotoa na academic Transcpt.