Dege Kubwa latua KIA

Sasa ndio jukumu lako kama mTanzania kuchunga mali yetu.......lete reg no yake na picha kama unaweza.......na uchunguze imekuja kufanya nini........ni haki yako kujua.......

Wewe Preta unataka mwenzio apelekwe mabwepande? Siku hivi wame improve akienda atayeyuka kama samli
 
Kuna Twiga wamekuja kuchukuliwa kwa ajili ya mashindano ya urembo Dubai watarudi tu msijali
 
Hii thread inapendeza sana. Umeliona dege kubwa na maandishi yake umeyataja, ukawaona na wafanyakazi wakishangaa dege. Nadhani kuandika tu bila picha za dege na washangaaji taarifa hii nzuri itakuwa haija kamilika bado.
 
mmemfanyia fitna kagasheki mnategemea nini..?
Wawabebe tu
na mimi nasema wawabebe tu

yeeep....nchi hii ni ya kuibemenda tu.... Ukiwa mzalendo wa kweli huthaminiki...kia panaonekana ..selous je?...mtazimia.....
 

naona tembo ataingia bila matatizo naona soko la meno siyo dili tena,bali tembo mzima,
 
Tembo wanaenda kutibiwa,msiwe na shaka!
 
wakimaliza wanyama woote tutaanza kubebwa kwa kuuzwa wanachi kama wanyama.
 
Mleta mada ingekuwa vyema kama ungetaarifu vyombo vya habari vya nchini na nje ya nchi waje wafanye mahojiano na uongozi wa KIA ili kuwaeleza Watanzania nini kinajiri sasa ukituandikia tuuuu Dege kubwa limetua KIA sidhani kama unatusaidia zaidi ya kutupa maumivu makali. Nyalandu nani mwingine tena vileeee oh Mwakyembe mnazo hizi taarifa au bado mmelala usingizi.. Hii nchi imelogwaaaaaaaaaaaaaaaaa...ndiyo hata kama ni watalii au wasafiri si vibaya kufahamu.. tumezoea kuona KLM Air Tanzania oooopss hii si ilishakufa kifo kitakatifu au? na vijidege viduchuuuuuu hahahah vya Mwanza Arusha, Dar KIA nakazalika sasa leo LI EMIRATES mmmmh tusaidiane
 

mamamama weeeeeeeeeeee Twiga, vifaru na Tembo mbuni wameisha!!!! nyalandu upo? twiga haoooooooooooooooooo
 
Wamegundua wakichukua pembe wakaacha mizoga mnawashtukia sasa wataanza kubeba Tembo na Faru wazima pembe wakazitolee kwao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…