Mchungaji BAK kanitisha!!!
BAK kwanini tena???Hata kama ni maswala ya kiroho???
Kwahiyo tutabase kwenye sayansi sio???
Orait....ngoja nipumzishe macho ili nipate nguvu kwaajili ya kesho!!!
Usipumzishe moyo itakuwa hatari! Keep on dreaming Mchungaji anakupreach ......lol
Orait....ngoja nipumzishe macho ili nipate nguvu kwaajili ya kesho!!!
Asante BAK....na wewe ubaki salama!!!
wala usitishike lizzy...maswala/masuala ya kiroho rukhsa kuteta