Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 53,332
- 72,655
kwa mawazooo kwa mawazoHasa pale ye ananenepa we unakonda [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
kwa mawazooo kwa mawazoHasa pale ye ananenepa we unakonda [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
We acha mkuu but kuna mkuu kashauri upende walau 30% hata akikumwaga unakata keki[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Moyo ungekuwa unaweza kuu format ingekuwa raha sanaaa mkuu
Hahahah!! Ni shidaaaaa!Zingine ni makato ya kodi.
Au unasemajeHahahah!! Ni shidaaaaa!