Dedicate wimbo kwa umpendae na umchukiae

Endless Love by Lione Richie....umuendee My Only One..... Anajijuaaaaaaaaa
 
ndiyo bestito kwani hujui kuwa manzese sasa hivi ukipaona ni kama posta vile jinsi kunavyong'aa iyo yote ni ujio wa huyu wanayempapakatia sana obama yaani watanzania watafunga macho vipi kwani sioni ujio wake una maana gani hapa kama sio kuja kutuchukulia mavituz yetu hapa wameniboa sana. Siku hizi wewe uko usalama wa taifa?
Nipo shamba mie... eti naskia daraja la manzese limehamia mbagala. ni kweli?
 
" I need you"..................................>>>>> amu
 
Last edited by a moderator:
Joto Hasira ukuendee wewe hapo..... Wewe huyo huyo mbona unajistukia??????
 
hivi wee Kaizer mbona mpaka sasa hujatuma songi lako lifanyiwe kazi hapa na majaji au hutaki kuwa miongoni mwa washiriki wa shindano hilo?
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…