decorder za free TV chanell za ukweli.

Mnyaluhala.

JF-Expert Member
Jul 28, 2012
1,430
1,773
wadau mambo vipi! naomba mnijuze decoder nzuri nina dishi la zuku, wameniboa sana sasa natafutia receiver nyingine ya free chanels. Nimejaribu kuweka media com kwa dishi hiko, sasa napata chanels za kenya safi ila nataka chanels zaidi hasa soka! mnijuze na kwa kuzipata hizo decoder pia!
 
attachment.php
hii ni multiple satetlite dish... Unapata dstv, my tv, zuku, star times local tvs hata zap piaaa

watu wengine mnakurupuka tu, mtu anauliza decoder we unamuwekea kitu gani hicho? jukwa hili sio la chit chat wala jokes...
 
kwa anayejua anisaidie jamani au hata kama haiwezekani pia tufundishane maana tunatofautiana fani na ujuzi!
 
[B said:
Mnyaluhala[/B].;4346192]kwa anayejua anisaidie jamani au hata kama haiwezekani pia tufundishane maana tunatofautiana fani na ujuzi!
Mnyaluhala== Mwenyeakili!,
KAMWENE mkuu!.
 
wadau mambo vipi! naomba mnijuze decoder nzuri nina dishi la zuku, wameniboa sana sasa natafutia receiver nyingine ya free chanels. Nimejaribu kuweka media com kwa dishi hiko, sasa napata chanels za kenya safi ila nataka chanels zaidi hasa soka! mnijuze na kwa kuzipata hizo decoder pia!

mkuu vp tena hao zuku si ndo walisema ina nafuu?? imekuaje tena???
 
wadau mambo vipi! naomba mnijuze decoder nzuri nina dishi la zuku, wameniboa sana sasa natafutia receiver nyingine ya free chanels. Nimejaribu kuweka media com kwa dishi hiko, sasa napata chanels za kenya safi ila nataka chanels zaidi hasa soka! mnijuze na kwa kuzipata hizo decoder pia!

Jaribu kumPM mtaalam mmoja humu ndani anaitwa Arselona, atakusaidia bila shida.
 
Back
Top Bottom