Declassified intelligence za TISS zinapatikana wapi?

Kumbuka bado tuko kwenye mfumo wa chama kimoja na Chame chenyewe ni cha Kikomunisti kilikubali hii demokrasia ya ili misaada isikatwe.
 
Nimewahi kupata za CIA na MI6, sijui kama China na Urusi wana huo utaratibu.
CIA na M16 Wana vitengo kabisa vya uongo na propaganda na huendeshwa kibiashara .Wanachofanya hivyo vitengo kujipatia mapato mbalimbali Moja ni Ku mtoa mtu wao akijifanya muuza siri zao na huziuza kwa bei mbaya ya kufa mtu lakini huwa si siri original huwa ni fiction kama za novel ila zenye majina halisi ambayo huyaweka kwenye hizo fiction zao kwa approval zao.Njia ya pili ni ya kuziandikia vitabu waandishi wakiwa maofisa CIA au M16 wastaafu ili kiaminike na kiwe best seller lakini uandishi ni ule ule wa fiction.Kikingia sokoni unakuta mfano kimeuzwa copy milioni mbili sasa kama kinauzwa dola 50 ni dola milioni 100 kwa mauzo ya mwezi tu
 
CIA na M16 Wana vitengo kabisa vya uongo na propaganda na huendeshwa kibiashara .Wanachofanya hivyo vitengo kujipatia mapato mbalimbali Moja ni Ku mtoa mtu wao akijifanya muuza siri zao na huziuza kwa bei mbaya ya kufa mtu lakini huwa si siri original huwa ni fiction kama za novel ila zenye majina halisi ambayo huyaweka kwenye hizo fiction zao kwa approval zao.Njia ya pili ni ya kuziandikia vitabu waandishi wakiwa maofisa CIA au M16 wasataafu ili kiaminike na kiwe best seller lakini uandis'hi ni ule ule wa fiction.Kikingia sokoni unakuta mfano kimeuzwa copy milioni mbili sasa kama kinauzwa dola 50 ni dola milioni 100 kwa mauzo ya mwezi tu
Kwa hapa bongo muuza ndio angekua edo angeuza sana:(
 
Kwa hapa bongo muuza ndio angekua edo angeuza sana:(
Yaani Lowassa aandike tu kitabu chenye title "siri za kutisha nilizoziona ndani ya CCM , Chadema na kwa wale walioniunga mkono wafanyabiashara,wawekezaji,watu wa kaskazini,watu wa nje ya nchi,viongozi wa dini,NGOs za ndani na nje,wafanyakazi serikalini na Balozi za nje nk Hicho kitabu kitagombaniwa ndani na nje ya nchi na kitakuwa best seller kwa muda mfupi
 
CIA na M16 Wana vitengo kabisa vya uongo na propaganda na huendeshwa kibiashara .Wanachofanya hivyo vitengo kujipatia mapato mbalimbali Moja ni Ku mtoa mtu wao akijifanya muuza siri zao na huziuza kwa bei mbaya ya kufa mtu lakini huwa si siri original huwa ni fiction kama za novel ila zenye majina halisi ambayo huyaweka kwenye hizo fiction zao kwa approval zao.Njia ya pili ni ya kuziandikia vitabu waandishi wakiwa maofisa CIA au M16 wastaafu ili kiaminike na kiwe best seller lakini uandishi ni ule ule wa fiction.Kikingia sokoni unakuta mfano kimeuzwa copy milioni mbili sasa kama kinauzwa dola 50 ni dola milioni 100 kwa mauzo ya mwezi tu
lie , hii story yako haina ukweli
 
Back
Top Bottom