Declassified intelligence za TISS zinapatikana wapi?

SONGOKA

JF-Expert Member
Mar 8, 2012
1,815
2,000
Ni kawaida kwa mashirika ya kijasusi duniani kuachia taarifa za siri baada ya muda fulani kupita, ili kuwawezesha raia kufahamu ukweli halisi wa mambo fulani fulani. Taarifa za siri inafikia wakati zinakuwa sio siri tena. Na huachiwa

Hivi taarifa za TISS ambazo zimekuwa declassified zinapatikana wapi wakuu? AU SISI hatuna huu utaratibu
 
YEHODAYA

JF-Expert Member
Aug 9, 2015
22,465

Unazitaka za nini?
 
Ukana Shilungo

JF-Expert Member
Apr 17, 2012
2,406
2,000
Ni kawaida kwa mashirika ya kijasusi duniani kuachia taarifa za siri baada ya muda fulani kupita, ili kuwawezesha raia kufahamu ukweli halisi wa mambo fulani fulani. Taarifa za siri inafikia wakati zinakuwa sio siri tena. Na huachiwa

Hivi taarifa za TISS ambazo zimekuwa declassified zinapatikana wapi wakuu? AU SISI hatuna huu utaratibu
NENDA MKONO WA KULIA WA KANISA LA SAINT PETER OSTERBAY UKAULIZE ,UTAPOKELEWA VIZURI SANA KWA UPENDO NA UKARIMU USIO KIFANI.

ILA UJIANDAE KUJIELEZA NI NINI HASA DHIMA YA SAFARI YAKO NA MASWALI YAKO.

WATAKUJIBU VIZURI NA UTAFURAHI SANA WALA HUTAAMINI MKUU.
 
My Son drink water

JF-Expert Member
Nov 30, 2016
4,134
2,000
Ni kawaida kwa mashirika ya kijasusi duniani kuachia taarifa za siri baada ya muda fulani kupita, ili kuwawezesha raia kufahamu ukweli halisi wa mambo fulani fulani. Taarifa za siri inafikia wakati zinakuwa sio siri tena. Na huachiwa

Hivi taarifa za TISS ambazo zimekuwa declassified zinapatikana wapi wakuu? AU SISI hatuna huu utaratibu
Hao Ni feki hawana lolote zaidi ya kuteka wapinzani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pythagoras

JF-Expert Member
Feb 24, 2015
8,172
2,000
Ni kawaida kwa mashirika ya kijasusi duniani kuachia taarifa za siri baada ya muda fulani kupita, ili kuwawezesha raia kufahamu ukweli halisi wa mambo fulani fulani. Taarifa za siri inafikia wakati zinakuwa sio siri tena. Na huachiwa

Hivi taarifa za TISS ambazo zimekuwa declassified zinapatikana wapi wakuu? AU SISI hatuna huu utaratibu
Unataka taarifa y siri waje wakwmbie kuwa Slaa alipewa mlungula na ccm na kuhamishwa chama kwa gharama ya kuishi??

unata wakwabie taarifa za siri za kumpandikiza Lipumba ndani ya CUF??

Unataka wakwabie kuwa mauwaji yaliyofanyuka Olasit arushaa yalikuwa ni mashinikizo ya kisiasa ya chama tawala??

Hawa wa kwetu hawana taarifa zingine zaidi ya hizo.
 
The Monk

Platinum Member
Oct 12, 2012
14,451
2,000
Nimewahi kupata za CIA na MI6, sijui kama China na Urusi wana huo utaratibu.
 
BUBERWA D.

JF-Expert Member
Apr 22, 2011
1,934
2,000
Ni kawaida kwa mashirika ya kijasusi duniani kuachia taarifa za siri baada ya muda fulani kupita, ili kuwawezesha raia kufahamu ukweli halisi wa mambo fulani fulani. Taarifa za siri inafikia wakati zinakuwa sio siri tena. Na huachiwa

Hivi taarifa za TISS ambazo zimekuwa declassified zinapatikana wapi wakuu? AU SISI hatuna huu utaratibu
nenda Marekani wanao huo utaratibu ila usidanganye ni utaratibu wa mashirika yote ya kijasus duniani
 
luchili

Senior Member
Nov 30, 2018
133
225
Ni kawaida kwa mashirika ya kijasusi duniani kuachia taarifa za siri baada ya muda fulani kupita, ili kuwawezesha raia kufahamu ukweli halisi wa mambo fulani fulani. Taarifa za siri inafikia wakati zinakuwa sio siri tena. Na huachiwa

Hivi taarifa za TISS ambazo zimekuwa declassified zinapatikana wapi wakuu? AU SISI hatuna huu utaratibu
Watu bwana, mnapenda kuwachokonoa watu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Top Bottom