Unatoka Kwa mafungu au vp mbona mke wangu namwomba ya k-vant hapa ananambia bado!Rafiki Mama ameshafanya yake. 🤸♀️🤸♀️🤸♀️
Alikutesaje?Hata kama talipwa tarehe 45 sitautamani uongozi wa Magufuli.
Siwezi kutamani uongozi wa mtu aliyeutesa utumishi wangu kwa miaka 7.
Samia kuingia tu March, June nikapanda daraja. Kwa msiojua ukipanda daraja mshahara unaongezeka zaidi ya laki 2.
Magufuli aoze salama.
Kkahhhh[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Hata kama talipwa tarehe 45 sitautamani uongozi wa Magufuli.
Siwezi kutamani uongozi wa mtu aliyeutesa utumishi wangu kwa miaka 7.
Samia kuingia tu March, June nikapanda daraja. Kwa msiojua ukipanda daraja mshahara unaongezeka zaidi ya laki 2.
Magufuli aoze salama.
Amen, naimani Yuko anateketeaHata kama talipwa tarehe 45 sitautamani uongozi wa Magufuli.
Siwezi kutamani uongozi wa mtu aliyeutesa utumishi wangu kwa miaka 7.
Samia kuingia tu March, June nikapanda daraja. Kwa msiojua ukipanda daraja mshahara unaongezeka zaidi ya laki 2.
Magufuli aoze salama.
Kwani miaka yote hawa watumishi huwa wanaishi vipi? Hao ni watu wazima wapewe chao ,mengine waachiwe wenyeweNakukumbusha tu kua mwezi wa kwanza una siku 31 na December ina 31 kazi ni kwako
Ukipata mshahara tarehe 19 utatarajia mishahara mwingine lini? Ukipata 24 ,na mwezi mwingine tarehe 24 mshahara utakuwa umechelewa???? Ukipata 19/12 halafu mwingine 24/1 je utakuwa umechelewa au umewahi ???Yani hatutapata kiongozi kama Magu labda kizazi cha tatu huko
NGO's tayari mshahara tumesha maliza... Sijui InJanuary tutaishije[emoji2][emoji2]Salamu,miaka ya Uongozi wa Magu tulizoea Mshahara tarehe 19.Magu alikua mwamba Santa.
Povu Ruksa.
Kweli vile. Acha kabisa mbona January tuna safari ndefu mno rafiki.Weee sema kweli rafiki?? Abarikiwe sana doh sema hadi January ishirinakitu parefuuu balaa🤠
Itakuwa hivyo Mkuu. 😀 Ye bado.Unatoka Kwa mafungu au vp mbona mke wangu namwomba ya k-vant hapa ananambia bado!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mtani ushamaliza? Acha hizo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huoni aibuu?Unatoka Kwa mafungu au vp mbona mke wangu namwomba ya k-vant hapa ananambia bado!
Aibu gani?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huoni aibuu?
HahahaMsubiri Makonda apande punda kwenda kufokea watu wa hazina.
Badala kuomba mikopo hazina ili iwakwamue kiuchumi mnalilia mishaharara.
Watumishi wengi wanaumizwa na Mikopo umiza a.k.a kausha damu, Serikali kupitia wizara ya Fedha inapaswa iwakwamue kuondokana na mateso ya mikopo
Sema hata hii mifuko ya penshen kwa watumishi, wangeweza kuja utaratibu mzuri wa kuwakopesha wanachama wao kwa riba ndogo sana, mbona wao wanajikopesha? Washindwa nini kuwakopesha ili hali ni wanachama na wanachangia kila mwezi, kama kwenye vikoba watu wanakopeshana why mifuko hii,Badala kuomba mikopo hazina ili iwakwamue kiuchumi mnalilia mishaharara.
Watumishi wengi wanaumizwa na Mikopo umiza a.k.a kausha damu, Serikali kupitia wizara ya Fedha inapaswa iwakwamue kuondokana na mateso ya mikopo umiza.
Kama hupandi maana yake hukopesheki.Alikutesaje?