Bila nyongeza ya mishahara kipindi chake chote, hata pension kiduchu kwa ajili yakeSalamu,miaka ya Uongozi wa Magu tulizoea Mshahara tarehe 19.Magu alikua mwamba Santa.
Povu Ruksa.
Unamkumbuka wewe tuRIP JPM! Kila nyanja unakumbukwa!
Akajumuike naye ChatoKule hakujaagi mkuu, mfate tu. Tena kule mnaweza pewa mishahara hata tar 8
Kesho unapewa kaa kwa kutulia
Nawe pia au husingejibu.. 😅😅😅Unamkumbuka wewe tu
Kesho niliyosema inaisha saa sita usiku kaa kwa kutuliia. Watu ndio wameingia ofisniZimeingia?
😅😅😅Kesho niliyosema inaisha saa sita usiku kaa kwa kutuliia. Watu ndio wameingia ofisni
Ni kweli my
Safari hii tumepanga kuwaingizia tarehe 27! Hivyo kama kuna sehemu unaweza kukopa, hebu ufanye mapema kabisa kabla hujaumbuka ndugu mtumishi wa umma.Salamu,miaka ya Uongozi wa Magu tulizoea Mshahara tarehe 19.Magu alikua mwamba Santa.
Povu Ruksa.
yani ikifika tar 23 humu ndani kutachafukaaaa 😀 😀 😀Safari hii tumepanga kuwaingizia tarehe 27! Hivyo kama kuna sehemu unaweza kukopa, hebu ufanye mapema kabisa kabka hujaumbuka
huu ni mshahara januari na december... na mshahara hauoni giza 2Unawakumbusha kijanja ila kaje hata tarehe 23 tukipewa leo krisi itakua hatuna kitu!
Imagine yaani lazima tuiwazie January pia sio kula tu minyama na bia from tarehe 22 to tarehe 1huu ni mshahara januari na december... na mshahara hauoni giza 2
Siunaona watu wameshapewa cha kwao?😅😅😅
Ndivyo unafikiri inakuwa hivyo sekunde zinaingia... Haya weee
Watu wamesha lambaZimeingia?
Mbona povu ruksa kwani umeongea uongo,Salamu,miaka ya Uongozi wa Magu tulizoea Mshahara tarehe 19.Magu alikua mwamba Santa.
Povu Ruksa.
kama Gigy money alivyo rais wa walaji wa urefu wa kamba au vepee.Kwanini haumfati alipo ukachukuwe?
Sasa hivi mwenzako ni rais wa malaika wote.