Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 72,016
- 177,323
Kabeeesa rafiki ! Desemba ilivo na mambo mengi sasa sikukuu kama zote plus January Watoto shule weee lazima akili itukae sawa!
Kabeeesa rafiki ! Desemba ilivo na mambo mengi sasa sikukuu kama zote plus January Watoto shule weee lazima akili itukae sawa!
Rafiki Mama ameshafanya yake. 🤸♀️🤸♀️🤸♀️Kabeeesa rafiki ! Desemba ilivo na mambo mengi sasa sikukuu kama zote plus January Watoto shule weee lazima akili itukae sawa!
Acha kabisa rafiki. Mbona tutakoma.Kabeeesa rafiki ! Desemba ilivo na mambo mengi sasa sikukuu kama zote plus January Watoto shule weee lazima akili itukae sawa!
Weee sema kweli rafiki?? Abarikiwe sana doh sema hadi January ishirinakitu parefuuu balaa🤠Rafiki Mama ameshafanya yake. 🤸♀️🤸♀️🤸♀️
huwezi kutoboa kwa mshahara,tafuta option number 2Salamu,miaka ya Uongozi wa Magu tulizoea Mshahara tarehe 19.Magu alikua mwamba Santa.
Povu Ruksa.
tarehe 27 na hutafanya chochoteyani ikifika tar 23 humu ndani kutachafukaaaa 😀 😀 😀
Yule alikuwa kiongozi, kwa sasa tunajiendea tu tusikokujuaSi umfuate huko aliko akupe mshahara wako...!!
Tunaomkumbuka ni wengi, mnajitoa ufahamu tuUnamkumbuka wewe tu
Mafisadi na vyeti feki watakupingaYani hatutapata kiongozi kama Magu labda kizazi cha tatu huko
Hujawahi danganya kwenye Hilo I do trust you brooKesho unapewa kaa kwa kutulia
Mfuate wafu wenzake wameshalipwa. We bwege uwe na akibaSalamu,miaka ya Uongozi wa Magu tulizoea Mshahara tarehe 19.Magu alikua mwamba Santa.
Povu Ruksa.
Hakuna kitu kama hichoTunaomkumbuka ni wengi, mnajitoa ufahamu tu