Dec 2, 2015.... Historia ya Mahaba...

Dec 2, 2015.... Historia ya Mahaba...

mnhhhhhh ni vizuri ku flirt...ila ukienda Zaidi ya hapo,usiseme hatukukwambia...bye.

Hahahahhahaaa ilisemwa na ilionywa na ilitahadharishwa kwa umma kuwa; Kila mtuna ajiponye nafasi yake mwenyewe.....

Haikuonywa mtu aponye / aokoe nafsi ya mwingine.

Dadii pia alishaniambia nikiendelea zaidi nisijemwambia kuwa hakuniambia....

Kasie Mtata.
 
Hahahahhahaaa ilisemwa na ilionywa na ilitahadharishwa kwa umma kuwa; Kila mtuna ajiponye nafasi yake mwenyewe.....

Haikuonywa mtu aponye / allow nafsi ya mwingine.

Dadii pia alishaniambia nikiendelea zaidi nisijemwambia kuwa hakuniambia....

Kasie Mtata.

Naona umejiandaaa...haya bwana..wanawake wengi wanajifanyaga vipofu hata wakiona red flags...usije kusema ninamtaka dadii wako bure...kwa heri.
 
Naomba offer ya pedicure shost wangu mi.mpaka sasa hivi sijapewa zawadi yoyote .

Nipe namba ya muamala PM nikupunguzie nilizopewa na Dadii maana mwezi una matumizi Huu...., inaweza isitimie ila walau utajazia au mwingine anaweza akajazia ukapata huruma ya mikononi na miguuni.
 
Naona umejiandaaa...haya bwana..wanawake wengi wanajifanyaga vipofu hata wakiona red flags...usije kusema ninamtaka dadii wako bure...kwa heri.

Hehehehehhe mie sijiandaagi hata kidogo. Niko hivihivi muda wote.

Red flags ziko kwenye mambo mengi tuu duniani sio Mahaba pekee na huko pia watu wanazifumbia macho wake kwa waume..... Sababu ya kufanya hivo Kila mtu anaijua nafsini mwake.

Halafu ujue Dadii ana nyota ya kutakwa na wengi, kufatiliwa na wake kwa waume, kuna wanao mhusudu, na yeye ana vitu vyake anavyovipenda, wengine anawacharaza tuu sababu akiwaacha wanamng'ing'a kuwa doroo kumbeee nanasi.... (Asiyeelewa maana ya nanasi muulizeni Dadii msijeweka maana zenu mkatukana wapenzi wenu, shauri zenu heheheheh).

Kasie Kaboka Mchizii Matata.

Kasie aka mingimingi.

Kasie Dadii.
 
mnhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh okey…!
 
Nipe namba ya muamala PM nikupunguzie nilizopewa na Dadii maana mwezi una matumizi Huu...., inaweza isitimie ila walau utajazia au mwingine anaweza akajazia ukapata huruma ya mikononi na miguuni.
Usisahau kupitisha na kwangu huo muamala mama wa dadii eeh
 
Back
Top Bottom