Dec 2, 2015.... Historia ya Mahaba...

Dec 2, 2015.... Historia ya Mahaba...

Stress mbaya sana... Xmas wishes from ......

Hahahahhahahaahhaaa
Konyooo weeeh.

Weeh jisahaulishe tuu halafu useme hamna sanvita na mabungo.......

Hivi kuna stress zaidi ya kutafuta sanvita na mabungo....!! Heheheee itabidi ufungue kiwanda.
 
Hivi kwa mfano huyo Dadiiii akakuacha utabadili na Jina maana hata kwa Smart ilikuwa hivi hivi japo siombei itokee.

ID yako inasomekaje kwa kuvuta sauti?? Halafu mwisho wa kina lako weka mtu.

Huyo uliyemtaja alitumwa makusudi kuvuruga ila hakufanikiwa.....

Maisha yamerudi palepale.... Dadii and Kasie for life.
 
ID yako inasomekaje kwa kuvuta sauti?? Halafu mwisho wa kina lako weka mtu.

Huyo uliyemtaja alitumwa makusudi kuvuruga ila hakufanikiwa.....

Maisha yamerudi palepale.... Dadii and Kasie for life.
Hongera dada nimeandika si kwa ubaya sorry kama nimekukwanza
 
Nimesoma uzi wako huku namsikia vanesa mdee na wimbo wake wa Wet... "Can i make you, swet...."

Hahahahahahhahaaa
Mahaba mia mia, Mahaba Matata
Dadii na Kasie.....

Ni mwendo wa kubambana tuu Heheheee.
 
mnhhhhhh ni vizuri ku flirt...ila ukienda Zaidi ya hapo,usiseme hatukukwambia...bye.
 
Ina maana dadii alikuwepo kabla ya yule mwingine wa humu hau post za humu zilinipeleka chaka..? Anyway Heri ya krismasi na mwaka mpya

Hahahahahahhaahhaa

Dadii ndo mpango mzima, na hiyo tarehe ndo historia yenyewe.

Mahaba mia mia kwake Dadii.

Kasie Tosimbana.
 
Hongera dada nimeandika si kwa ubaya sorry kama nimekukwanza

Asanteee

Wala sijakwazika, mie nimejibu kama swali lilivouliza. Pole kama nimetumia mfano mkali sana.....
 
Back
Top Bottom