Dec 2, 2015.... Historia ya Mahaba...

Dec 2, 2015.... Historia ya Mahaba...

Kasie

Platinum Member
Joined
Dec 29, 2013
Posts
22,801
Reaction score
43,177
Habari za asubuhi mabibi na mabwana........
Natumai mko vizuri na maandalizi ya sikukuu ya Xmas an Mwaka Mpya......!! Hongera kwa kila mmoja kwa kupambana na hali zenu kila mtu kwa uwezo wake.... namshukuru Maulana nami napambana na Mahaba yangu na Dadii kwa starehe zetu.

Hii tarehe (December 2, 2015) ndio ilikuwa mwanzo wa safari yetu ya Mahaba na Dadii, ndani ya kingo za uwanja wa Jamiiforum....

Nisiseme sana nikajikuta naacha nukta nukta zikaunganishwa na kutengeneza mstari. Kilichonifanya nilete huu uzi asubuhi hii, ni kuwa jana usiku nilirejea kabati langu la barua ndipo nikakutana na barua ya Mahaba iliyotoka kwa Dadii ikiniambia....

''You just Don't Know How Much I Like You......, I wish to hang out with you at Mahaba Beach....''

Maneno haya chanzo chake ilikuwa hivi, Dadii alinitunuku zawadi (token) basi nikamuandikia barua ya kumshukuru nikisema, asante sana kwa zawadi, you are such a friend, a boo,(wakati huo hajawa Dadii wangu bado ila nilikuwa namzimikia zimikia kumoyo, huku na yeye alikuwa ananizimikia hivohivo). Kumbe maneno hayo yakachokonoa cheche za Mahaba kwa Dadii ndo akanijibu kwa maneno hayo hapo juu tena kwa lugha hiyohiyo ya Malkia.

Yaani yalikuwa maneno machache lakini nikajikuta napiga uyowe yeeey uuuuuhh ooh my gooosh!!! na tabasamu panaaa zaidi ya banana smile hehehehehhehee.

Nikamjibu naanzaje kukataa sasa kwamfano, basi kuanzia hapo hiyo beach ya Mahaba ilitupa Mahaba kila tusemeshanapo, akinisemesha kilugha mie nacheka tuu, akinifinya nasisimka, akining'ata sulikha zinapanda.....

Si kuwa nimekumbuka hii tarehe kama anniversary hapana ni Mahaba tuu akinishika mgongoni nalegea, akinitania natabasamu akinitukana tunatusiana basi tunajikuta tunaongea sweet nothing words pia uko wakati tunaongea vitu muhimu, uchumi, dunia inaendaje, tutazeeshanaje n.k. n.k.

Dadii, ukiona haya maneno najua utakumbuka....... (I really like Fish Market) aahahahahahhahhahahahha

You are my Banana....

Acha jiwimbo hili lisindikize Mahaba Yetu..... Lets Dance the Tango Dadii... Lets Dance the Blues Honey....

Baby Now.....

......... We Found Love Right Where We are ........ (heart beats)

Kasie Mahaba Matata.

Kasie Tosimbana Maboko.
 
Hivi kwa mfano huyo Dadiiii akakuacha utabadili na Jina maana hata kwa Smart ilikuwa hivi hivi japo siombei itokee.
 
Nimesoma uzi wako huku namsikia vanesa mdee na wimbo wake wa Wet... "Can i make you, swet...."
 
Hamuwezi amini nlichotaka kuandika nimefuta.

Merryxsmass.
 
Ina maana dadii alikuwepo kabla ya yule mwingine wa humu hau post za humu zilinipeleka chaka..? Anyway Heri ya krismasi na mwaka mpya
 
Back
Top Bottom