DEBATE: Money is better than education

namkumbuka, yuko humu mbona. anajiita #nyaningabu
 
From African perspective money is better

Ila kwa dunia education is waaay far better, kama sio edication basi dunia ingekuwa ipo kwenye zama za ujima, sijui hata tungekuwa hata na tunatumia hizo hela, tungekuwa tunafanya barter trade bado
 
Hii motion 98% ya shule zote duniani wameipitia... Kiukweli sijui ipi ni better kuliko mwenzie
Sisi tuliijadili hii mada ikaonekana upande wa wanaosema pesa ni bora kuliko elimu wameshinda, lakini walimu wakatulazimisha tukubali kua elimu ni bora kuliko pesa bila hoja za kutetea
 
Elimu ya UTAFUTAJI PESA mtaani ni better kuliko elimu ya darasani.
Tatizo watu hawajui maana kamili ya education. Education inaweza kutolewa formal au informal. Ukiona mtu anafanya vzr biashara ujue lazma ana elimu. Huenda kwao walishafanya biashara hiyo hivyo alikua huku anajifunza. Ndio maana watoto wa wamiliki wa vyombo vya usafiri huja kuwa wazuri ktk tasnia hiyo. Wachaga pia kufanya vzr biashara kwa kuwa mtoto anajifunza toka maduka ya wazaz wake.

Salun, ushonaji, upishi na fani nyingine zote watu hupata elimu yake ndio wanaifanya vzr. Elimu sio lazma iwe ya Ndalichako. Mtaani kuna elimu kubwa mara mia kuliko ya darasani.
 
Tofauti ya elimu na pesa ni.
ELIMU:Inamshepu mtu aishije.
PESA:inakushepu itakavyo.
Elim ni bora coz inakushepu..
 
Making Money needs Education, don't you know that nigger??
 
Education is better. You can mention any billionaire who is billionaire without education.
 
Yes, there is no innovation without education
does one need education to innovate ?, I can tell you for sure without capital injection Research and Development dies even before it starts
 
Yes, there is no innovation without education
Education is learning some innovations have come out accidentally not intentionally.., i.e. not through knowledge let alone acquired knowledge.., others through common sense (which is not taught)
 
Uko sawa mkuu watu wanashindwa kuelewa na fautisha kati ya Normal education ambayo ndo School na Self education ambayo unaweza jifunza mwenyewe
 
Elimu yenyewe ya bongo hii unachosoma wala hakikusaidii mbeleni bora kutafuta pesa tunapoteza ada tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…