Death au DECI? - Masha, Mwema na Othman

Kama viongozi wa DECI wanashitakiwa, washitakiwe pia hao viongozi wa dini wanatetea DECI kwa mgongo wa imani za watu.Kumekuwa na tabia ya viongozi wa dini kuwaburuza waumini watakavyo mara JK ni chaguo la Mungu,mara huyu katubu asamehewe na hivyo kuweka njia panda wafuasi wa dini wasijue wafuate dini gani yenye uelekeo wa kweli.
 
Usalama wa Taifa hawana expertise katika masuala haya kwa hiyo tunawalumu bure, in this specialist unit there are investigators who are financial specialists and are capable of doing this job. Kwa hiyo unit nzima itimuliwe. .

Nakubaliana na wewe kabisa , kwani hawa usalama ndiyo wanaingia kila kona kujua kama business gani au kitu gani hakina masilahi kwa Taifa. Lakini hawa wa kwetu wanafikiri kuwa usalama ni jina tu na kupita mitaani kuoneshewa vidole mimi usalama , mimi usalama!!! To hell. They need to change the way they work. Hivi sasa tumeshawaonesha Taasisi zingine zilizoshaanza na michezo kama huo wa DECI, hadi leo sijasikia labda wakitangazia watu kuwa serikali inachunguza au imekubaliana nazo. Hizo ndizo kazi zinatakiwa sasa wafanye kabla watu hawajapoteza pesa zao kama hii.
 
Kama viongozi wa DECI wanashitakiwa, washitakiwe pia hao viongozi wa dini wanatetea DECI kwa mgongo wa imani za watu.Kumekuwa na tabia ya viongozi wa dini kuwaburuza waumini watakavyo mara JK ni chaguo la Mungu,mara huyu katubu asamehewe na hivyo kuweka njia panda wafuasi wa dini wasijue wafuate dini gani yenye uelekeo wa kweli.
 
Nakubaliana na wewe kabisa , kwani hawa usalama ndiyo wanaingia kila kona kujua kama business gani au kitu gani hakina masilahi kwa Taifa. Lakini hawa wa kwetu wanafikiri kuwa usalama ni jina tu na kupita mitaani kuoneshewa vidole mimi usalama , mimi usalama!!! To hell. They need to change the way they work. Hivi sasa tumeshawaonesha Taasisi zingine zilizoshaanza na michezo kama huo wa DECI, hadi leo sijasikia labda wakitangazia watu kuwa serikali inachunguza au imekubaliana nazo. Hizo ndizo kazi zinatakiwa sasa wafanye kabla watu hawajapoteza pesa zao kama hii.

Nadhani kuna haja ya kureform security nzima. Usalama wa Taifa ni lazima itengwe kuwe na unit maalum inayodeal na external affairs yaani CIA, kuwe na wanao-deal na usalama wa ndani yaani kama FBI au Homeland Security, kuwe na wanaodeal na madawa ya kulevya, silaha, - Arms, Tobacco Alcohol bureau na kadhalika. Na mtumishi wa umma asitake ku-spy on the citizens of Tanzania. Tabia hiyo ikome mara moja! If they are going to tap my phone, they better get a judge to sign off on it na iwekwe katika public records ili baadaye niweze kujua ni judge yupi alikubali wanifuatilie na kuvunja haki zangu za msingi!
 
Back
Top Bottom