Dear Parents, Why are murders glorified?

Dear Parents, Why are murders glorified?

callmeGhost

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2016
Posts
278
Reaction score
832
This is my letter to all parents out there.

Ilikuwa jana wakati naangalia video fulani Youtube, nikaona suggestion imeandikwa ‘Pablo Escobar's HITMAN’, niliifungua na kuiangalia. Hii video ndio imenifanya niandike barua yangu leo.



Poyeye(Pablo’s hitman) aliua watu 250 kwa mikono yake. Na yeye kama head security wa Pablo Escobar, kundi lake liliua zaidi ya watu 5000, hapa tunahesabia Police na rival Cartels tu, achana na innocent lives. Na ana husika na mamilioni ya vifo huko Colombia, lakini alifungwa miaka 23 tu, na sasa yupo mitaani. Ni sawa sawa alifungwa siku 37 kwa kila kifo. Kwa mujibu wake, anasema haregret kuua kwani, alikuwa loyal kwa Pablo Escobar, kiasi kwamba angemwambia amuue baba yake angefanya hivyo bila kuuliza kwanini. Akiwa anatembea mitaani watu wanamshangilia kama Diamond Platnumz. Kwanini watu wanashangilia muuaji?
18021f65fd7f820b1b946834fbc2262c.jpg



Pablo Escobar alikuwa drug loard mkubwa duniani na tajiri wa kwanza duniani kwa kipindi kile. Aliua majaji wengi, wakuu wa mikoa na viongozi wengine wa serikali. Pablo alifanikiwa kupata more than 50% ya police force to be loyal to him. Na hii ilimfanya awe mtu mwenye nguvu sana Colombia. In fact katika list ya most powerful men, Pablo Escobar alikuwa wa 41 wakati raisi mwenyewe wa Colombia hakuwa kwenye list. Pablo alisaidia watu wenye uwezo wa chini, nah ii ilimsaidia kukwepa msumeno wa serikali. Kwani asilimia kubwa ya watu Colombia waliishi kwenye umaskini, basi Pablo Escobar alikuwa kama Mungu kwao. Mbali na mauaji aliyoyafanya kwa watu wasio na hatia, Pablo Escobar ni mtu anaependwa Colombia, na sio Colombia tu, bali duniani.
e31fb6b0ec881db4d382339a9161e9ac.jpg


Dear parents, kwanini nawaandikia hii barua? Hio hapo juu ni historia fupi tu ya Pablo Escobar. My question is ‘Why are murders glorified?’ nimebahatika kusoma shule za kimataifa toka primary. Shuleni nilikutana na watu wa mataifa tofauti. Kulikuwa na watoto wanaotoka Balozi mbili tofauti nchini Africa pamoja na watoto wa foreigners walio hapa nchini. Ajabu ni kwamba huyu Pablo Escobar anasifiwa mpaka na wanafunzi wenzangu. Wazazi niwaambie tu, watoto wenu wengi hamuwajui. Wanafunzi wengi shuleni walikuwa na access na drugs, sio shule za kimataifa tu, kwani kulikuwa na matamasha; mbapo tulijumuika na shule za NECTA, eg seminary. Cha kushangaza, drugs ilikuwa fashion. Nilikuwa nasikitishwa sana pale ninapoona mwanafunzi mwenzangu, mtanzania mwanzangu akitumia madawa haya na kuanza kumsifia Pablo na El Chapo Guzman. Dear parents don’t tell me your child’s life don’t matter.

Dear parents, darasani kwangu tulikuwa watoto 25, na hapo mnatengwa into two classes, uzuri wa shule za kimataifa, darasani mnakaa wachache, lakini kati ya hao 25, tulikuwa kama wanne tusio fanya mchezo huu mchafu. Ilifika wakati unaingia darasani asubuhi unasikia harufu ya moshi. Walimu walipana sana na hili, lakini nimegundua kitu, vita ya madawa ya kulevya ni ngumu kupigana nayo hata mashuleni. Wazazi wengi hamuwajui watoto wenu. Kuna siku mzazi aliitwa shuleni kwa sababu motto wake alikamatwa chooni akiwa anavuta, mzazi huyu alimlaza motto wake polisi siku 5. Kosa lilikuwa la mzazi. Nilichogundua kwa wazazi wengi ni kwamba mnawaamini watoto kupita kiasi. Nilishangaa sana motto wa darasa la sita alivyomwambia mama yake ‘Fck you mom’ na mama yake hakumkana wala nini. Je huyu motto ataishije na jamii? Dear parents don’t tell me your child’s life don’t matter.

Dear parents, ni wazi kwamba vijana wengi wa leo wanapenda violence. Wengi tunapenda action movies, wengi tunamsifia Hitler, wengi tunapenda nyimbo zenye matusi. Kwanini? Binafsi naona sisi kama binadamu tunapenda violence, ipo kwenye historia, mababu zetu waliuuana, na leo hii tunapenda kusoma kitabu cha Pablo Escobar kuliko cha Mkulima wa mpunga. Mama yake Pablo Escobar anamuelezea mwanae kuwa alikua mtoto mwenye adabu na heshima, na aliipenda sana dini. Je aligeukaje kuwa muuaji? Niwajibu kwanini binafsi napenda action movies, kwasababu zina nientertain, naturally they make me feel good, je na mimi nitakuja kuwa muuaji? Hapana kwani wazazi wangu walinilea na kunifundisha vyema. Lakini hii haidrop fact kuwa kila mtu ana dark side inside them, ni vile nyie wazazi mmefanya juhudi gani kubury the dark side. Ninaogopa kuwa mmoja kati ya vijana wenzangu wa sasa anaweza kubadilika kuwa Hitler, au Pablo Escobar. Kwani kwao hawa watu ni role models wao. Leo hii nipo chuo, na kuona kijana mwenzangu anatumia madawa, inanisikitisha. Dear parents don’t tell me your child’s life don’t matter.

Dear parents, najua kijana wako hatoupenda huu uzi. Dear parents, sitaki kuwa mmoja ya mapolice waliokatwa miguu kwa kupigana na drug cartels. Dear parents, sitaki mmoja wa rafiki yangu nisikie amekufa kwa kuwa alikuwa anatumia madawa ya kulevya. Dear parents, sitaki kusikia rafiki yangu amefukuzwa chuo kwa sababu ya madawa ya kulevya. Dear parents, don’t let your son’s soul rest under El Chapo Guzman’s house. Dear parents, there is a silent war going on and your child is a soldier. The war on drugs. Dear parents, nikisikia rafiki yangu kafa kwenye vita hivi, nitakuja kuwalaumu nyinyi wazazi. Dear Parents don’t tell me your child’s life don’t matter.


Yours,
-callmeGhost
 
Nitamtumia Hitman agent 47 amdungue.
The place where I was raised they gave us numbers
Mine was 47
 
Back
Top Bottom