Dear Miss Leejay49

Dear Miss Leejay49

Achana nao japi uliniitaga malaya ila umeshapenda tulia uoe maisha nikujenga umejenga au mtaenda kupangisha unagari au ndio unatumia bolt magari ya wenzako kwa mwezi unauwezo wakuingiza sh. Ngapi rafly yaani hiyo ni ya chai tu .

Inaonyesha unarasha rasha yakutishia wenzako je unazo kweli ?? Mpaka iwe mafuriko ya hanang?? Unajua mie ndio msimamizi wa harusi. Je unaweza inshu ngapi kwa siku nzima ukiamulia isije mtu akarudisha mabegi huwezi.
Aliyeelewa anisaidie kunielewesha 😜
 
Acha ugomvi, isije wewe na kaka yako huyo (kama sio mimi) mkajikuta majeruhi 😂
😃😃😃
May peace reign mkuu ila binti akimuelewa kakangu wewe ndo atakayekufanya majeruhi na yale mateke yake ya Van Damme alompiga nesi 😃😃
Acha ugomvi, isije wewe na kaka yako huyo (kama sio mimi) mkajikuta majeruhi 😂
 
Back
Top Bottom