Dear Miss Leejay49

Dear Miss Leejay49

Kwani watu wakiamua kutaniana na kufurahia, iwe kweli anamtaka au iwe sio kweli mnaumia nini?

Eti mtu anakuwa desperate akifungua uzi wa namna hii,zipo namna tofauti za kutafuta attention ya bidada, na kila mtu ana namna yake ya kumvutia mwanamke.

Mkuu mleta mada, just do what makes you happy.
 
Yote haya wamesababisha Smart911 na Mahondaw
Huyo smart ndio kawehuka kabisa kila comments lazima amtake huyo Mahandow….Yani Jf inatakiwa kuanzisha wodi ya vichaa kabisa…😂😂😂😂😂 ……! Ndio maana unaweza ukakuta mtu anagombana na mtu hata hamjui kisa comments tuu au akamuandikia barua ya mapenzi kisa comments tuu na wakaingia penzini………
Jf Dr iungwe na ili jukwaa
 
Kwani watu wakiamua kutaniana na kufurahia, iwe kweli anamtaka au iwe sio kweli mnaumia nini?

Eti mtu anakuwa desperate akifungua uzi wa namna hii,zipo namna tofauti za kutafuta attention ya bidada, na kila mtu ana namna yake ya kumvutia mwanamke.

Mkuu mleta mada, just do what makes you happy.
Uko sahihi mkuu, halafu tuna free willing.
👉As long as haivunji namna ya kujadiliana
 
Back
Top Bottom