Dear Mama, See you later!

Embu tuelezeeni 1.6T iliyofanya AG kujiuzulu?

Hapo kwenye Kodi, labda hujui falsafa za kiuchumi kati ya monetary policy na fiscal policy.

Kipindi Cha magu, mambo yalikuwa magumu mpaka raia wakawa wanasema vyuma vimekaza, au ulikuwa Ulaya mwenzetu?

Sasa fiscal policy aliyoitumia magu iliboresha nini?
Wakati watu wachache waliishi kama wafalme na majority kuwa chawa tu.

Pesa zinapelekwa kwa makampuni ya ujenzi ya nje hivyo haizunguki ndani halafu unataka kusema nini?

Mama mpaka 2035
 
Sasa mimi sina hata cheti kimoja. Ndiyo maana akawa anawaita wanyonge,hamna akili hata kidogo kila kitu unawaza vyeti.
Pole sana ndugu,roho mbaya na husuda zimekujaa moyoni mwako,km ww sio mnyonge tulia ndugu km unawashwa km mwanamke ndugu
 
Labda amuchukue akuendeshee familia yako
 
Pole sana ndugu,roho mbaya na husuda zimekujaa moyoni mwako,km ww sio mnyonge tulia ndugu km unawashwa km mwanamke ndugu
Sasa husuda za nini au hujui unachoandika? Wanyonge nyie watu wa ajabu sana, jiwe aliweza kuwatumia vizuri sana
 
Kwani ni ile ya kusevice gari ya safari kutoka dar dom,rockcity halafu dereva kaamua kuchikichia hela ya service dar,na safari ni dar,dom mwanza?ama jina tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…