Dear Mama, See you later!

Griss umefanikiwa sana Kwa hii spinning! Kwa sasa watu hawajui agenda zao! Imebaki kidakia kila post zenye maudhui ya namna hii.

Heko sana kwa Eagle
 
Ukiingia mtandaoni kusikia au kusoma yanaendelea kisha rudi huku mtaani tunako ishi mambo ni tofauti kabisa. Hakuna utofauti wowote ule wa kimaisha kipindi cha jiwe na sasa maisha yetu ni yaleyale lazima utoke asubuhi uende ukapambane ili jioni angalau dagaa wachemke nyumbani
 
We ndio watu maskini? Kenge tu wewe subiri Oktoba acha kutapatapa
 
Dah huku wananchi wanaoishi kwa shling elfu mbili hafi elfu tano kwa sku yaan wanaumia sana kuna watu hawataki hata kuskia hali n ngumu, biashara haziendi kabisa
 
Binafsi namkubali sana na sio Mimi tu Bali watu wengi haswaaa.
 
Pamoja na ukali wa marehemu magu na madhaifu yake km binadamu lkn nchi watu wa chini walikuwa wanafuraha sana,aliwashika sana na wasiposikia kuwa amekufa watu wa chini walilia sana na mpaka Leo Huwa wanaamini kuwa mkomboz wao alikuwa magu
Hao ni wapumbavu na watu kama wewe. Wengine walifanya nsherehe kabisa. Mliokuwa mnaitwa wanyonge ndiyo mlikuwa mnalia
 
Jiwe alikuwa laana kwa taifa
 
Kabisa watu kama kina Bashe, Musukuma na wengineo ,miaka nenda rudi hakuna jipya
naam mkuu hapa kuna kitu hakipo sawa nchi hii -- nakupa mfano magu alivokufa watu wakaanza sema rushwa zimerudi, nidhamu ofisi ya umma zimeshuka, tanesco wanakata umeme

lakini tukiangalia kiundani kila sekta hapo kuna mamlaka zinazosimamia na ambazo inabidi na zenyewe zisimamiwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…