Daah umeongea ukweli maana mm mwenyew ilinikuta hii kitu imenifanya mpaka Leo nimetangaza nia mahali
Maana kila nlilofanya ndio kwanza mwenzangu anazidi kunipenda na kusisitiza ananiombea daah kiukweli ilinifanya nikae chini na kutafakari sana mwishowe nkaamua kutuliza wenge maana mkataa pema pabaya panamuita