Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 58,636
- 220,425
Ninakubaliana na wewe sana tu mkuu, hasa akiwa mzuri kwenye sex. In reality Christians tunaambiwa uchumba usiinvolve sex, uwe ni muda wa kusomana tabia na kumuomba Roho Mtakatifu akuongoze.Tatizo huwa linakuja kwenye ku-Ignore redflags
Ukishampenda mtu, kuna baadhi ya mapungufu yake, utayafumbia macho ukiamini atabadilika kadri mtakavyoishi.
Unaweza ukagundua akili zake nyingi ni zakushikiwa, lakini akawa na kitu kimoja which kills you to ultimate