Dear Guys: What things you should never tell your girlfriend?

Dear Guys: What things you should never tell your girlfriend?

Hii tabia wanayo wanaume sana sijui kwanini yaani!! Na wanajisahau kuwa sisi tuko emotional sana, neno dogo tu linaweza lisababishe mapenzi nawe yafe kabisaaaa.
 
Ila vitambi huwa vinakuja na hela mara nyingi, hivyo kuhama hamuwezi, hususani katika hiki kipindi tunachopitia..
Vingine hata sio hela, vingine ni vya kitimoto tu hata hela hamna.
 
Wanaume mna izo sana.. Naumizwa pale anapoponda mabadiliko ya mwili wangu... Ulikua mwembamba saiv umenenepa sana.. Ulikua ivi leo uko ivi kuponda tu, hamna hata la kusifiwa moja mkuu. Inauma aisee
At least yuko hones inamaana anakupenda, mabadiliko ya mwili yanawaput off sana wanaume, hawaelewi kuwa mengine ni hormonal changes hasa baada ya kujifungua.
 
Tena ukishajijua unacho unamwambia wewe ni mshika dini hutaki kabisa tendo kabla ya ndoa, akafungue parcel akiwa honeymoon.
kujua kama anakibamia, lazima tendo la ndoa kabla ya hiyo ndoa
 
Mimi tena mwanaume anamuweka mama yake kama reference nilikuwa ninadhani ana mapenzi na heshima kwa mama yake, kumbe mama mara nyingine inakuwa ni cover ur.
 
Ukishajijua una kibamia unahakikisha hufanyi tendo na mtarajiwa mpaka baada ya ndoa.
ila kibamia, kinategemeana na Couple,
maana unaweza ukajiona una bonge la dushe,
halafu ukapata manzi anakuona una kibamia tu!
 
ila kibamia, kinategemeana na Couple,
maana unaweza ukajiona una bonge la dushe,
halafu ukapata manzi anakuona una kibamia tu!
Hizi Christian Women Confrence Lady Pastor kutoka Congo alituambia hii tabia ya wanawake kujianika na kwa A, B, C, D mpaka unafika kwa T hakuna aliyekuvalisha pete. Maskini anatokea V anajiona kidume anakuoa, mkifika nyumbani unamlinganisha performance yake na A-T unaona zero, ndio visa vinaanza kwenye ndoa. Kama unamjua V tu katika maisha yako huna wa kumlinganisha nae.
 
sio kwa maisha mnayoishi mkiwa salon LOL! sio kwa mambo mnayopeana kwenye magroup ya whatsapp!
Huko hata kama unamjua V tu! utapewa story za wenzako waliokutana na akina A,B,C,D hadi T.
baada ya hapo kinachofuata utamuona V wako ni kilaza tu kitandani.
 
sio kwa maisha mnayoishi mkiwa salon LOL! sio kwa mambo mnayopeana kwenye magroup ya whatsapp!
Huko hata kama unamjua V tu! utapewa story za wenzako waliokutana na akina A,B,C,D hadi T.
baada ya hapo kinachofuata utamuona V ni kilaza tu kitandani.
Hapo sasa wakati unadate unabidi upime uwezo wa girlfriend wako kuwa na akili za kushikiwa na za kwake mwenyewe.
 
Hapo sasa wakati unadate unabidi upime uwezo wa girlfriend wako kuwa na akili za kushikiwa na za kwake mwenyewe.
Tatizo huwa linakuja kwenye ku-Ignore redflags
Ukishampenda mtu, kuna baadhi ya mapungufu yake, utayafumbia macho ukiamini atabadilika kadri mtakavyoishi.
Unaweza ukagundua akili zake nyingi ni zakushikiwa, lakini akawa na kitu kimoja which kills you to ultimate
 
Back
Top Bottom