cosa nostra
JF-Expert Member
- Sep 17, 2010
- 1,773
- 1,809
ha ha ha ha haKibamia
ha ha ha ha haKibamia
Kama yeye kaanza unafikiri mi nitafanyaje? Iyo itabaki maigizo tu.Sikuamini tena...kama huyo jamaa upo nae lkn humpendi inaonekana ww ni mtu wa kuigiza sn
Alisema neno gani ambalo umeshindwa kusamehe km kweli ulimpenda kiasi hicho?!Kama yeye kaanza unafikiri mi nitafanyaje? Iyo itabaki maigizo tu.
Wala usiumie utajipa ugonjwa wa moyo bure!! Ukiwazoea wala huumii.Wanaume mna izo sana.. Naumizwa pale anapoponda mabadiliko ya mwili wangu... Ulikua mwembamba saiv umenenepa sana.. Ulikua ivi leo uko ivi kuponda tu, hamna hata la kusifiwa moja mkuu. Inauma aisee
Siwependi wanawake wenye matumbo makubwa, na wewe unacheka kwa kuwa wakati huo hauna minyama nyama, baadae tumbo hilooo...! hahaha..! unaanza kujishtukiaWanaume mna izo sana.. Naumizwa pale anapoponda mabadiliko ya mwili wangu... Ulikua mwembamba saiv umenenepa sana.. Ulikua ivi leo uko ivi kuponda tu, hamna hata la kusifiwa moja mkuu. Inauma aisee
Kizuri zaidi hakuwahi kunipa sifa za x wake lkn kijineno kidogo tu kilimaliza thamani yake kwangu.Halafu mbaya zaidi, yeye hajawahi kukutamkia wewe hayo maneno tena tangu alipokutongoza.. Ila unapewa sifa za Ex wake tu..haha
Hukunikuta na tumbo kubwa wala manyamanyama... Nimekuzalia watoto wawili watatu wengi wetu mwili unabadilika, hata ungekua wewe ungebadilika tu. Kwa nin msijifunze kupenda wake zenu kama walivo? Mbona nyie mnanenepeana mnkua na vitambi mwisho wa siku vibamia vinaanza lakin tunawavumilia?Siwependi wanawake wenye matumbo makubwa, na wewe unacheka kwa kuwa wakati huo hauna minyama nyama, baadae tumbo hilooo...! hahaha..! unaanza kujishtukia
Nilisha msamehe lkn ndio hivyo maneno maneno huvunja moyo.Alisema neno gani ambalo umeshindwa kusamehe km kweli ulimpenda kiasi hicho?!
ALISEMAJE?Nilisha msamehe lkn ndio hivyo maneno maneno huvunja moyo.
Ndio najua leo ati..!Hukunikuta na tumbo kubwa wala manyamanyama... Nimekuzalia watoto wawili watatu wengi wetu mwili unabadilika, hata ungekua wewe ungebadilika tu. Kwa nin msijifunze kupenda wake zenu kama walivo? Mbona nyie mnanenepeana mnkua na vitambi mwisho wa siku vibamia vinaanza lakin tunawavumilia?
Daaaa, maneno jamani. Tuwe makini na maneno ya kumwambia mtu kuna mengine kamwe hayasauliki.Nilimuweka moyoni, nilimpenda kuliko kitu chochote duniani, nilimthamini, nilimjali, nilimuheshimu sana na kumvumilia.
Lakini kaneno kadogo tu kalinivunja moyo kabisa na kumuona hana thamani tena katika maisha yangu japo yeye hajui kilichobaki ni kupokea huduma yake na kufanya maisha yangu tu.
Hahaaa... Ndo ujue babu.. Kuna wanaozaliwa kibamia ila kuna ambao wakinenepa sana kile kitambi, matako na mipaja inavokua mikuwa kile kinarudi ndani. Bas inakua shida hakifiki popote. Twawavumilia tu vinginevyo mwafaaa[emoji112] [emoji112] [emoji112] [emoji112]Ndio najua leo ati..!
Kumbe kibamia ni matokeo ya kitambi.. LOL!
😀
Nichum kwanza ntakwambia [emoji3] [emoji3] [emoji3]ALISEMAJE?
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Hahaaa... Ndo ujue babu.. Kuna wanaozaliwa kibamia ila kuna ambao wakinenepa sana kile kitambi, matako na mipaja inavokua mikuwa kile kinarudi ndani. Bas inakua shida hakifiki popote. Twawavumilia tu vinginevyo mwafaaa[emoji112] [emoji112] [emoji112] [emoji112]
[emoji131] [emoji105]Nichum kwanza ntakwambia [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Aiseee...!Hahaaa... Ndo ujue babu.. Kuna wanaozaliwa kibamia ila kuna ambao wakinenepa sana kile kitambi, matako na mipaja inavokua mikuwa kile kinarudi ndani. Bas inakua shida hakifiki popote. Twawavumilia tu vinginevyo mwafaaa[emoji112] [emoji112] [emoji112] [emoji112]
Ndo mjue tunawavumilia... Nyie mnakimbia manyama na tumbo, sisi ndo tungewahama kabisa.Aiseee...!
Mnakutana na mambo makubwa nyie..
Hahahaaa.... Wanawake hatuko ivo hata kama ungekua huna ela, yakitushinda saaaana tunajua wenyewe tunavofanya iyo ni sir.Ila vitambi huwa vinakuja na hela mara nyingi, hivyo kuhama hamuwezi, hususani katika hiki kipindi tunachopitia..