Dear godoro

Dear godoro

Kertel

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2012
Posts
5,736
Reaction score
5,683
Asante godoro leo ni usiku mwingine
Nakuja kitandani nina usingizi mwingine
Wengine wamelala wanaota ndoto zingine
Mimi bado macho kodo kama popo wengine
Nalala sana ila ndoto wanaota wengine
wengine wanasema ninunue godoro lingine
Hapana hili si kama godoro lingine
nilinunua mwenyewe si mtu mwingine
mungu akipenda tutakutana asubuhi nyingine..........Ameeen.
 
hahahahaaaaa! godoro hili nouma!

Aku, usije kwangu na uende kwingine
Nina mmoja leo simtaki mwingine
Raha upate shidazo umpe mwingine
Hata ukiniweka kwa kitanda kingine
Ulalie ubavu au ulale kivingine
Tena nishakumbuka na jambo jingine
Jana uliniacha na bahari nyingine
Tafadhali, kalale kwingine......... teh teh teh


Asante godoro leo ni usiku mwingine
Nakuja kitandani nina usingizi mwingine
Wengine wamelala wanaota ndoto zingine
Mimi bado macho kodo kama popo wengine
Nalala sana ila ndoto wanaota wengine
wengine wanasema ninunue godoro lingine
Hapana hili si kama godoro lingine
nilinunua mwenyewe si mtu mwingine
mungu akipenda tutakutana asubuhi nyingine..........Ameeen.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom