Dear FaizaFoxy: Ukijibu hili nahamia CCM

Naona aliyeshikwa pabaya ni muuliza swali / maswali, maana mpaka sasa anashindwa kuweka sawa ili ajibiwe ikiwa ni maswali au swali, unaweza ukamsadia, maana ndio kafikia upeo wake.
Kikongwe kabaki kumumunya maneno tu kwisha habari yake ona anavyopayuka tu kwa kukosa hoja FF acha ubishi kama ngozi ya masaburi hata upake cream vipi haiwi nyeupe.
 
Kweli FF ni mtu muhimu sana hapa JF, yani akiendelea hivi basi watanzania walio potea watarudi kwenye mstari. Mi naona humu magwanda wote wanasubiri mdomo wazi.

Umeona eeh, wanaanza kuporomosha na matusi, kisa hawajui namna ya kuuliza. Wananchekesha, tutawaweka sawa, mpaka watajuwa namna ya kuuliza na mpaka watajuwa kuwa yao ni matusi na hawana zaidi.
 
Umeona eeh, wanaanza kuporomosha na matusi, kisa hawajui namna ya kuuliza. Wananchekesha, tutwaweka sawa, mpaka watajuwa namna ya kuuliza na mpaka watajuwa kuwa yao ni matusi na hawana zaidi.

kwenye red ....una maanisha nini? hujui namna ya kuandika.......................sasa jibu swali la msingi Rostam ni gamba? refer agenda ya kujivua gamba CCM.
 
kwenye red ....una maanisha nini? hujui namna ya kuandika.......................sasa jibu swali la msingi Rostam ni gamba? refer agenda ya kujivua gamba CCM.

Namaanisha "tutawaweka". Najua sana namna ya kuandika hiyo ni "typographical error" inasameheka kwa wasomi ila huwa haisameheki kwa wasio wasomi. Swali la msingi ni lipi? na hizo "agenda" unazotaka ni zi "refer" ziko wapi? unaweza nisaidia pa kuzipata ili nizi "refer" au unaweza kuziweka hapa ili tusipoteze muda.
 
Umeona eeh, wanaanza kuporomosha na matusi, kisa hawajui namna ya kuuliza. Wananchekesha, tutawaweka sawa, mpaka watajuwa namna ya kuuliza na mpaka watajuwa kuwa yao ni matusi na hawana zaidi.
Usujifanye unajua ku-spin hapa!!
ROSTAM ni gamba?
acha kuzunguka zunuka kama kuku aliyekatwa shingo!!

Kushindwa kwako kujibu kunaonyesha utu wako upo mfukoni mwa ROSTAM.
 
ROSTAM ni Gamba au sio Gamba?? (kwa mujibu wa Nape)

Au tukuulize swali jingine basi, naona unapata tabu sana!!
Validate or dismiss with reasons the following statement------''I am tired of the gutter politics within my political party''.....ROSTAM.
 
Jipange upya...
 
Usujifanye unajua ku-spin hapa!!
ROSTAM ni gamba?
acha kuzunguka zunuka kama kuku aliyekatwa shingo!!

Kushindwa kwako kujibu kunaonyesha utu wako upo mfukoni mwa ROSTAM.

Mtaelewa tu namna ya kuuliza kama mnataka majibu. Kama hamjui tutawafunda.
 
Mtaelewa tu namna ya kuuliza kama mnataka majibu. Kama hamjui tutawafunda.
Labda tukuulize swali rahisi zaidi.

Umwekwa kenye mfuko wa sarawili au wa bukta??

Ujanja wote kumbe upo kwenye pay roll ya Igunga one.
 
ROSTAM ni Gamba au sio Gamba?? (kwa mujibu wa Nape)

Au tukuulize swali jingine basi, naona unapata tabu sana!!
Validate or dismiss with reasons the following statement------''I am tired of the gutter politics within my political party''.....ROSTAM.

Kwanini nimjibie Rostam wakati mwenyewe kaweka wazi kila kitu? Mnanchekesha.

Soma zaidi:

Umeona eeh, wanaanza kuporomosha na matusi, kisa hawajui namna ya kuuliza. Wananchekesha, tutawaweka sawa, mpaka watajuwa namna ya kuuliza na mpaka watajuwa kuwa yao ni matusi na hawana zaidi.
Acha kumegwa wewe jibu swali acha kukwepesha tundu si umekula hela za bwana yako RA jikongoje tu mama jibu swali.
 
Acha kumegwa wewe jibu swali acha kukwepesha tundu si umekula hela za bwana yako RA jikongoje tu mama jibu swali.

Walewale, nilisema utawaona humu. Wasiojuwa kuuliza wao wakiambiwa wajirekebishe wanaanza matusi na ujuba. Sisi tutajaribu kuwarekebisha na kuwafunda ustaarabu kadri ya uwezo wetu.

Tabia nzuri hufundwa mtu nyumbani kwa mama'ake na baba'ake na akikosa mafunzo mema huko basi ulimwengu huchukuwa jukumu la kumfunda, kwa haya maneno yako, inaonesha umekosa mafunzo mema kutoka kwa mama'ako na baba'ako.

Karibu sana kwa FF, ntakufunda kadri ntakavyoweza, kwa kuanzia, nakuomba ujaribu kuwa mtulivu na urekebishe lugha zako chafu, waswahili hunena "asiyefundwa na ***** hufundwa na ulimwengu" ni wajibu wetu kuwapenda na kuwaenzi mama zetu na naona si vyema kukuona upo tayari kumpa sifa mbaya mamayo. Naomba jirekebishe kumstiri mamayo.
 
Na wewe utu wako upo mfukoni mwa ROSTAM.

huna ujasiri wa kusema chochote kuhusu ROSTAM.

Nakushangaa sana unapokuwa na ghadhab kila unapolitaja jina la Rostam, ama kweli Rostam ni kiboko, naomba rejea hotuba ya Rostam kwa majibu kutoka kinywani mwake, kwanini nimjibie Rostam wakati mwenyewe kisha jibu? Kama kuna kitu hujakielewa katika majibu ya Rostam, nnaweza kukuelewesha zaidi lakini ikiwa utaweka kwa mpangilio unaoeleweka.
 
unajalibu ku divert mada? Kama kwa context zote mbili za 'swali' na 'maswali' kama ulivyo eleza unaweza kujibu, kwa nn ucfanye grouping ya majibu yako huku ukitoa comments za masahihisho hayo. Ebu jikakamue acha mbwembwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…