raster inlove
Mh..jamaa kwenye avata yake si kashika m.basu huo...... litakua jua limemdondokea sio nyota hii kabisa.....Haya amu unaitwa huku................nyota ya jah hii inakudondokea.
dah!!kwani wakushi hatutakiwi kupenda jamani
raster do have money only true heart...afu siunajua hatuitaji garama only kitamaduni zaidi,matunda kama mapera,coconut juice,butunda atakula kimwana
asante bi dada heaven on earth...maana mkushii ndo nisha fall like mad man.ila mpe tarifa kijiti wala raster zangu sinyoi wala siachi
pesa sio tatizo dada,na plan nyingi sana juu yake ntampeleka jamaica,then Ethiopia.pesa makaratasiusituzingue wenzako alaa!!
kama umempenda basi barua yao sharti iwe na kishika uchumba!!
halafu utulie tukutaajie mahari yetu.
hapa mjini hakuna swala la moyo umekudondokea lkini sila pesa............hiyo ni big NOOO