It is very unfortunate kwa baadhi yetu ambao hatujapata nafasi ya kukisoma, nilipata bahati ya kukisoma tangu Mwaka jana mwezi May mara tu kilipotoka. I wish mkisome kwa umakini then kujaribu ku-analyze comments zake, though kwa uelewa wangu mdogo ninaweza kuchangia mawili matatu kutoka kwa kile alichokiandika.
1. May be after decades of having several books from European or Americans economists, at last we hear a version from Dambisa, an African born Economists, tena kutoka hapo nchi jirani, Zamnbia!...
2. Had rised in a 'five star family', had gone to 'five star education institutions' and had worked in such prestigious institutions such as Bretton Woods institution made her comments to be relevant on one side (as she is aware of what is talking), and irrelevant on the other side (as she doesn't know the complexity of matters of the ground (here)).
3. Alicho advocate Dambisa is nothing new, honest speaking, though may be she has presented in different tone, dimension etc, sijui wenzangu kama mshawai soma kitabu cha Paul Collier (The Bottom Billions), au vile vya Jeffrey Sachs na Joseph Stilgritz, nimeshawai, that is why nasema hivyo. (naamisha, How we can End Povety-Sacchs, Globalization and its discontents, and How we can make globalization work vya Joseph)
4. Sitachambua content ya kile alicho kiandika, though will drop some comments upon the way forward ambazo Dambisa ame advocate, coz that is the point ambapo tunaona 'kuiva' kwa mwandishi. Katika way forward ndipo alipo pruvu Failure, it like ni an OLD WINE IN THE NEW BOTTLER, what she advocate most of the are obselete, kwa uchache tu, kitu kama kutegemea remittances na intertrade etc has proven failure, much as several economists has been praying that to happen.
Binafsi siamini kama LDC's tutaendelea bila kuwekeza katika sayansi na teknolojia, full stop!, tutapiga kelele wewee lakini at the end of the day kama hatuna sayansi na teknlojia sijuia hata hiyo TRADE (Inter Africa trade) ambayo Dambisa anaipigia debe itawezekana viopi iwapo hatuna kitu cha ku trade made in Tanzania, Kenya au Zambia, still we will carry on trading products from China na Japan, whc at the and of the day will catalyze the vicious cycle of dependency/poverty.
It is good to hear from her, though sioni kama amechambua vizuri nini sisi kama LDC's tunahitaji, alichokisema kwa uoande mwingine kimetupa empirical data's jinsi gani AID ni vicious to the dvlpt of LDC's.