"DEAD AID TO AFRICA" by Dr. DAMBISA MOYO

TingTing

Member
Dec 20, 2009
92
3
Nimependa jinsi Dr. Dambisa Moyo alivyopanga pointi zake hapa chini. Ebu tusikilize halafu tuchangie humu jamvini. Ndio maana nchiz zetu nyingi Africa zimeota pembe. I am a strong admire of Paul Kagame, he might be a dictator but he is determined to make Rwanda a better place. We need such leaders in other African countries.

Last edited by a moderator:
Tuwekee hiyo clip basi! Inaelekea ni Mama(Dada) maarufu sana, nime m-google nikapata responses za kumwaga:

dambisamoyo2.jpg

Dambisa Moyo is an international economist who writes on the macroeconomy and global affairs. She is the author of critically acclaimed New York Times Bestseller Dead Aid: Why Aid is Not Working and How there is a Better Way for Africa, which details the inefficacy of development aid for poor countries.
Her forthcoming book entitled How the West Was Lost: Fifty Years of Economic Folly and the Stark Choices Ahead explores the failure of policy-making in the world’s leading industrialized economies. She examines how politically-motivated policy decisions around Capital, Labor and Technology – key ingredients for growth- have placed economies on a precarious path of economic decline.

Ms. Moyo was named by Time Magazine as one of the "100 Most Influential People in the World", and was nominated to the World Economic Forum’s Young Global Leaders Forum. Her writing regularly appears in economic and finance-related publications such as the Financial Times, the Economist Magazine and the Wall Street Journal.
Dambisa worked at Goldman Sachs for nearly a decade, and also worked at the World Bank in Washington D.C.. She completed a Doctorate in Economics at Oxford University and holds a Masters degree from Harvard University. She completed an undergraduate degree in Chemistry and an MBA in Finance at the American University in Washington D.C..
 
DEAD AID

Why Aid Is Not Working and How There Is a Better Way for Africa

Dambisa Moyo
In the past fifty years, more than $1 trillion in development-related aid has been transferred from rich countries to Africa. Has this assistance improved the lives of Africans? No. In fact, across the continent, the recipients of this aid are not better off as a result of it, but worse—much worse.

In Dead Aid, Dambisa Moyo describes the state of postwar development policy in Africa today and unflinchingly confronts one of the greatest myths of our time: that billions of dollars in aid sent from wealthy countries to developing African nations has helped to reduce poverty and increase growth.

In fact, poverty levels continue to escalate and growth rates have steadily declined—and millions continue to suffer. Provocatively drawing a sharp contrast between African countries that have rejected the aid route and prospered and others that have become aid-dependent and seen poverty increase, Moyo illuminates the way in which overreliance on aid has trapped developing nations in a vicious circle of aid dependency, corruption, market distortion, and further poverty, leaving them with nothing but the “need” for more aid.

Debunking the current model of international aid promoted by both Hollywood celebrities and policy makers, Moyo offers a bold new road map for financing development of the world’s poorest countries that guarantees economic growth and a significant decline in poverty—without reliance on foreign aid or aid-related assistance.

Dead Aid is an unsettling yet optimistic work, a powerful challenge to the assumptions and arguments that support a profoundly misguided development policy in Africa. And it is a clarion call to a new, more hopeful vision of how to address the desperate poverty that plagues millions.
 
Very good discussion and also relevant to Tanzania. The book is a must read. I hope our leaders get to read it!
 
JF iko juu sana, katika thread ya "WHAT BOOK ARE YOU READING/HAVE READ ambayo imo humu utaona kuwa wanajanvi walikwisha kisoma hiki kitabu na kushauri kuwa Jakaya angeshauriwa kukisoma ili aepukane na mindset ya kutegemea misaada toka nje kama engine ya kukua uchumu wetu!! Mwenzie Kagame sio tu kakisoma bali amemualika huyu mama mpaka Rwanda ; je mnaona mambo anayoyafanya mwanaume wa shoka kule Kigali? Huwezi kumfananisha na Vasco Dagama hata kidogo!!
 
A very meaningful book for African readers annd leaders. Its is only $24 (or around that much) in many duty free shops. Ni kitabu ambacho tunapaswa kukisoma wanajamvi.
 
Huyu dada kiboko, she knows the topic wellini interviewer is equally good, he prepared well for the interview, he asked the right questions and we got good answers. Ngoja nianze kukisaka hicho kitabu
 
Ok, kuna some positives kwene arguments zake, lakini mie naona the main concern ni kuhusu uchumi wa dunia umejiestablish ktk misingi ipi..contemporarily. With current market economy in place no system will work for Africa. I don't need to be optimistic on this. Huo ndio ukweli. Huezi uka-invest mtaji mahali fulani (uka-create jobsin the process) kama hujui utauza bidhaa au huduma zako wapi kwa faida, hapo ndipo inapokwamia hii model ya huyu mama anaposisitiza kwamba nchi ziongezewe capacity ya ku-produce kwa kuongezewa investment badala ya misaada. Nchi nyingi zilizoendelea zina keep their GDP sky-high kwa kulinda masoko yake, kununua labour na malighafi kwa bei chee, na mbinu nyingine za kuhakikisha alie chini anaendelea kuwa chini. I see no hope really.
 
Your leaders can't acceapt this concepts coz zinawanyima ulaji.Utegemezi wa misaada kwa jamii ya Kiafrika imekuwa kuanzia ngazi ya familia mpaka taifa. Leo huwezi kumwambia mtu kama "Mkwere" aache tabia ya kuomba omba...hakuelewi...ipo kwenye damu.
 
Huyu dada kiboko, she knows the topic wellini interviewer is equally good, he prepared well for the interview, he asked the right questions and we got good answers. Ngoja nianze kukisaka hicho kitabu

Mpita Njia kama uko Bongo usipate tabu ,kitabu hiki kinapatikana "A novel Idea" bookshop pale slipway.
 
nimekisoma hiki kitabu, Dambisa ameanika ukweli wa maana sana.

my take: Aid and its conditionallities' priority is to benefit those who give aid and not the majoritiy poor who are supposed to receive the benefit, viongozi wa nchi zinazotoa misaada wako responsible kwa wananchi wao waliowachagua na kodi wanazolipa, haiwezekani wakawa wanachota pesa za walipa kodi wao na kuzileta bongo iwapo hazirudishi faida yoyote.

kama kweli wanataka kutusaidia kwa nini hizo conditionalities hazilengi kwenye mikakati ya kuinua sekta ya kilimo inayoajiri >80% ya tz kwa kuwawezesha kuwakulima wadogo wadogo na kuinua sekta ya viwanda au na sisi tuuze bidhaa zetu?

kwanini wanaweka mkazo kwenye ubinafshaji na misaada ya kodi na conditions zinazoruhusu makampuni kama Barrick and the like kuja kujichotea mali kiulaini?

watanzania hawafi na Malaria, ukimwi etc hizo ni kama bullets tu, zinazotoka kwenye machine gun inayoitwa umasikini, ambayo watoa misaada wamewapa watawala wetu walio ndani ya magwanda ya bad governance and selfishness.

ukosefu wa elimu, miundo mbinum huduma za jamii nk nk yote ni majeraha yanayotokana na umaskini
 
Ok, kuna some positives kwene arguments zake, lakini mie naona the main concern ni kuhusu uchumi wa dunia umejiestablish ktk misingi ipi..contemporarily. With current market economy in place no system will work for Africa. I don't need to be optimistic on this. Huo ndio ukweli. Huezi uka-invest mtaji mahali fulani (uka-create jobsin the process) kama hujui utauza bidhaa au huduma zako wapi kwa faida, hapo ndipo inapokwamia hii model ya huyu mama anaposisitiza kwamba nchi ziongezewe capacity ya ku-produce kwa kuongezewa investment badala ya misaada. Nchi nyingi zilizoendelea zina keep their GDP sky-high kwa kulinda masoko yake, kununua labour na malighafi kwa bei chee, na mbinu nyingine za kuhakikisha alie chini anaendelea kuwa chini. I see no hope really.

misaada ikiondolewa

1. Hela za corruption zitapungua sana, viongozi wa Africa hawatakuwa na uchu wa madaraka yasiyokuwa na faida na yanayotaka changanya ubongo, kwa hiyo slowly wenye moyo wa kuinua maisha ya maskini wata anza kujitokeza kugombea urais:)
2. bila kuwa na corruption wa africa watachagua viongozi wao kwa uhuru, wakizingatia sera zinazotekelezeka angalau kwa kiasi fulani, na sio wagombea kupiga kelele tu majukwaani "kazi millioni moja"! wakati mioyoni mwao wanajua kabisa MKUKUTA na MDGs ambazo ndio catalyst ya bajeti have no much to do with 80% farmers or industrialization
3. waafrica watakuwa hawana jinsi ila kuimarisha production na masoko ya ndani ya Africa, jambo ambalo litawapa sauti kiuchumi, kidogo kidogo nchi zilizoendelea zitafungua masoko yao, Africa ina ardhi na natural resources ambazo nchi nyingi tu wanahitaji, itabidi waje kufanya biashara kwa win win stratergy kwa sababu African governments zitakuwa na autonomy over economy policies sio ku base kwenye opinions za donors
 
nimekisoma hiki kitabu, Dambisa ameanika ukweli wa maana sana.

my take: Aid and its conditionallities' priority is to benefit those who give aid and not the majoritiy poor who are supposed to receive the benefit, viongozi wa nchi zinazotoa misaada wako responsible kwa wananchi wao waliowachagua na kodi wanazolipa, haiwezekani wakawa wanachota pesa za walipa kodi wao na kuzileta bongo iwapo hazirudishi faida yoyote.

kama kweli wanataka kutusaidia kwa nini hizo conditionalities hazilengi kwenye mikakati ya kuinua sekta ya kilimo inayoajiri >80% ya tz kwa kuwawezesha kuwakulima wadogo wadogo na kuinua sekta ya viwanda au na sisi tuuze bidhaa zetu?

kwanini wanaweka mkazo kwenye ubinafshaji na misaada ya kodi na conditions zinazoruhusu makampuni kama Barrick and the like kuja kujichotea mali kiulaini?

watanzania hawafi na Malaria, ukimwi etc hizo ni kama bullets tu, zinazotoka kwenye machine gun inayoitwa umasikini, ambayo watoa misaada wamewapa watawala wetu walio ndani ya magwanda ya bad governance and selfishness.

ukosefu wa elimu, miundo mbinum huduma za jamii nk nk yote ni majeraha yanayotokana na umaskini

Kiongozi naona umeelewa sasa dada amejaribu kusema nini hapa. Kama Bwana Kagame kamuita Rwanda kwenda washauriane ni namna gani wanaweza kuweza kujitegemea wenyewe inaonyesha kuna mtu nyumbani (Afrika) ambaye amemsikiliza na kumuelewa huyu dada. Hajasema msaada husitoke ila ulenge sehemu zinazostahili na ulete faida kwa wananchi wa nchi husika na vinginevyo. Mfano halisi ni pale ambapo dunia ilipokumbwa na "recession" na utaona kuwa Mheshimiwa Hillary Clinton alisafiri kwenda China kuongea nawo kuhusu kupewa mkopo ili waweze kuuweka sawa uchumi wao ambao umesababisha ajira nyingi sana kupotea. Sasa nchi kama wanakopa China, kwa nini Africa nao wasikope huko huko China! China walijifunza kujenga reli kupitia kwa wajerumani na wamarekani miaka ya nyuma leo hii jamaa wanajenga reli wenyewe na treni ya kasi ndio inatokea kwao sio Japan tena.

Mifano ipo mingi tu hata ukiangalia nchi kama Malaysia utabakia kupoteza muda kwa kujiuliza hivi waliwezaje badala ya kutenda. Viongozi hatuna mwenendo na wala hatuangalii mbele kabisa haswa kwa vizazi vijacho. Kofi Annan alishasemaga kuwa Africa siyo masikini, uwezo tunao na wataalaam tunao. Tatizo mie naliweka hivi, "Right Thinking and Knowledgeable Leadership". Solving our day to day problems is called Symptoms Management and working for country development is Disease Treatment for Real Cure. We need a panacea which is real emancipation from poverty. Do we really have to go to business or management school to get to know this for sure?

Pia mimi siamini kuwa Africa hususani Tanzania kuna kitu inaitwa "zero-tolerance" ikija kwenye kupambana na rushwa. Tungekuwa na tungekuwa na "strong regulatory structures" kaika nchi hii ambapo wahusika wakishapatikana na hatia wanachukuliwa kama sheria inavyosema au sheria inafuatwa basi leo hii tungekuwa mbali sana. Na hapa ndipo unapotafakari hivi nchi kama Liberia Mama Sir-Leaf Johnson amewezaje kuifanya iwe vile, Botswana pia hivi wamefanya vipi n.k. Tanzania tuna kila uwezo wa kuweza kufika mahala ambapo tunaona tu katika ndoto. Kama Kaka yangu alivyosema hapo juu kikubwa hapa ni kufumua na kusuka upya mfumo wa elimu ikiwa ni njia pekee ya kuboresha ile ya sasa, kuboresha huduma za afya hadi vijijini na kufanya baadhi ya "laboratory tests" kama Ultra-sound kuwa bure haswa kwa wakina mama wajawazito, n.k; list is endless.
 
misaada ikiondolewa

1. Hela za corruption zitapungua sana, viongozi wa Africa hawatakuwa na uchu wa madaraka yasiyokuwa na faida na yanayotaka changanya ubongo, kwa hiyo slowly wenye moyo wa kuinua maisha ya maskini wata anza kujitokeza kugombea urais:)
2. bila kuwa na corruption wa africa watachagua viongozi wao kwa uhuru, wakizingatia sera zinazotekelezeka angalau kwa kiasi fulani, na sio wagombea kupiga kelele tu majukwaani "kazi millioni moja"! wakati mioyoni mwao wanajua kabisa MKUKUTA na MDGs ambazo ndio catalyst ya bajeti have no much to do with 80% farmers or industrialization
3. waafrica watakuwa hawana jinsi ila kuimarisha production na masoko ya ndani ya Africa, jambo ambalo litawapa sauti kiuchumi, kidogo kidogo nchi zilizoendelea zitafungua masoko yao, Africa ina ardhi na natural resources ambazo nchi nyingi tu wanahitaji, itabidi waje kufanya biashara kwa win win stratergy kwa sababu African governments zitakuwa na autonomy over economy policies sio ku base kwenye opinions za donors

Ni kweli "Win-Win Situation" ndio inayohitajika kwa sana hapa Afrika na Tanzania kwa ujumla. Mara nyingi huwa najiuliza hivi kuna ulazima gani wa kuweka au kufanya kila huduma kupatikana mjini wakati mji ni mkubwa na inabidi upanuliwe kwa kuweka huduma mbali mbali sehemu tofauti! Vitu kama hivi ndivyo vinazidisha foleni mijini ukiacha kuleta foleni yenyewe. Kuna jamaa mmoja alisema hivi, "nchi ukimpa mwanasheria au mchumi wa ukweli basi ataiendesha vizuri tu na itanyooka sawa sawa". Nadhani hata hichi kitengo cha kuandikisha vyama vya siasa pamoja na Idara husika ya Uchaguzi Tanzania wangebadil iutaratibu wao mzima na kufanya wagombea lazima wawe na elimu ya chuo kikuu anagalau au hata diploma level kama chuo kikuu inaonekama kubwa sana na si kuweka darasa la saba. Hapo nadhani angalau kidogo tuaweza ona neema. Siamini na wala sitoamini kuwa mtu ambaye hana elimu au elimu yake ni tata au ya ulaghai eti ndio aongoze wananchi kwa kuwafanyia maamuzi ambayo hayamsaidii mwananchi bali yanamuumiza tena kwa kiasi kikubwa sana. Humu ndani wengi mtakubaliana ya kuwa maendeleo ya Tanzania yataletwa na vijana na wala sio watu waliokalia kiti kwa miaka zaidi ya 15 bila kufanya chochote majimboni mwao ama kufanya kitu cha kuwapunguzia umaskini wananchi wa majimbo yao. Tunahitaji uwakilishi wa vijana ambao hawajatekwa kiakili na wanajua nini wanafanya. tukipata asilimia 40 hadi 60 ya vijana basi taifa litakuwa limesaidika katika kuleta matumaini mapya, na vijana hapa ni kumaanisha kwenye jopo la walio miaka 20-30. Clear vision and right leadership will take us where we want or would like to be. Asante Kiongozi
 
Back
Top Bottom