DCI Manumba: Mwakyembe hajalishwa sumu!

DCI Manumba: Mwakyembe hajalishwa sumu!

hakuna ushahidi wa ''kulishwa sumu'' - we all expected this.

BUT, Ushahidi wa kuwa na sumu mwilini je?

Iko hivi Dr Mwakyembe ni kweli kabisa hakuwekewa sumu kwenye chakula. Sumu iliingiaje kwenye mfumo wa kimwili wa Harrison? Alikuwa akiviziwa sana na jamaa walimwekea sumu kwenye sabuni ya kunawia mikono Dodoma, mara baada ya kuitumia ile sabuni ilitoweka. Cartel ya waliohusika kufanya uharamia huo wa kumtegeshea sumu Mwakyembe inaongozwa na Mbunge wa Monduli, ambaye bunge lilimlazimisha aachie ngazi nafasi ya uwaziri mkuu. Wahusika wote waliisha lipwa kwa kazi hiyo na wana kiapo cha kutosema kwa mtu yeyote.
 
wapi button ya "like?"
mkuu nilitaka nikugongee!
 
Mwosha HUOSHWA.Kwa wanaharakati Mwakyembe ni traitor so anavuna alichokipanda

bado Anna Kilango sasa, naye ni msaliti tuu aaah lakini kundi zima lile hakuna mtu wakina nape si ndo hawa!
 
Nadhani huu ndio ikweli wenyewe!. Kibarua sasa kimebaki kwa Mhe. Mwakyembe mwenyewe ku disclose anaumwa nini!.

Get well soon Mwalimu Mwakiyembe na achana na michezo michafu, rudi darasani ukaiendeleze fani ya kufinyanga wakombozi wa mahakamani.

Tulitegemea tu watasema hivyo, ndiyo tanzania yetu tuliyoizoea ya kuficha ukweli na kulindana. Polisi wanajua wanachofanya na hawawezi kutoa taarifa ya kuwa amepewa sumu kwa sababu wanajua itawabidi kuwashughulikia waliohusika.

Na askari wetu polisi wapo kwa ajili ya kupokea maelekezo tu na siyo kusimamia sheria za nchi. Wanatekeleza kile wanachoambiwa yaani hawana tofauti na Computer daima itaandika kile ninachotaka mimi kuandika.

Tumeshuhudia kesi ngapi zikifutwa pasipo kuwa na sababu, EPA ilipotea mikononi mwa polisi na mahakama, ndio hivyo kwa kupokea maelekezo toka kwa watu fulani ambao ndio wanaoandika katika computer.

HIVYO TULITEGEMEA KULETA REPORT KAMA HII. SIJASHUHUDIA HATA MARA MOJA POLISI WAKIFANYA UCHUNGUZI NA KUTOA JIBU SAHIHI.

ACHENI NISEME, HATA MKINICHUKIA NITASEMA TU.........................

MKUU WA JESHI LA POLISI NAYE ACHAGULIWE KWA KURA ZA WANANCHI, NA SIYO KUTEULIWA NA RAISI.

HATA MKITAKA KUNIMWAGIA MAJI WASHA MIMI NITASEMA TU UKWELI NDIO HUO.

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
Jamani hivi binaadamu akidhuriwa na sumu mpaka awe ameila???? hawa polisi wetu vipi?????
 
Hivi mtu akimtuhumu mtu mwengine na upelelezi wa police ukikanusha, yule mtu aliyetuhumu anachukuliwa hatua gani?
 
Well, nadhani habari hii ndivyo ilivyotegemewa kutoka kwa 'polisi' wetu hasa kuhusiana na Mwakyembe!
Je itakapokuja kujidhihirisha kwamba kinachomsumbua Dr. Mwakyembe ni Sumu awe amelishwa au aliwekewa kwa njia yoyote ile, atakuja kusemaje! Mijitu mingine bwana, itakuja kupelekwa The Hague bure kwa makosa ya watu wengine kutokana na ujinga wao!
 
Wanabodi, tuacheni conspiracy theories, vuteni subira kwanza mkijue anachoumwa ndipo mziendeleze hizi conspiracy theories zenu!.

Serikali makini itamshughulikia Sitta haraka iwezekanavyo, scrap him his ninisterial positions na kumpandisha kizimbani kwa kosa la "uchochezi"!.
 
Mimi nadhani DCI Manumba yuko sahihi kabisa kwa jibu hilo. Mtu mzima kama Mwakyembe hawezi kulishwa iwe chakula ama tunda. Mwakyembe ametiliwa sumu kwenye chakula. Lakini afya ya Mwakyembe yupo mhusika tu.
 
Well, nadhani habari hii ndivyo ilivyotegemewa kutoka kwa 'polisi' wetu hasa kuhusiana na Mwakyembe!

we expected it.hata kama alilishwa sumu,nani ange dare kusuma ukweli?
 
Haya Bwana naona unajitahidi kweli.

Wanabodi, tuacheni conspiracy theories, vuteni subira kwanza mkijue anachoumwa ndipo mziendeleze hizi conspiracy theories zenu!.

Serikali makini itamshughulikia Sitta haraka iwezekanavyo, scrap him his ninisterial positions na kumpandisha kizimbani kwa kosa la "uchochezi"!.
 
Mimi nina wasi wasi na uelewa na utayari wa huyu Kayumba katika kujibu maswali. Katika kujibu swali amesema hivi; Kutokana na uchunguzi wa kipolisi ulioshirikisha Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, hakuna ushahidi juu ya hilo". .....then baadae anasema Kazi ya Polisi sio kuchunguza maradhi bali kuchunguza tuhuma, sasa hiyo kushirikisha wizara ya Afya ci ndiko wangejua anasumbuliwa na nini? Hapo tayari wizara ya Afya imesha-ridhia kutoa ushirikiano so pamoja na kilichomsibu huyu muheshimiwa..............dah!
 
Wanabodi, tuacheni conspiracy theories, vuteni subira kwanza mkijue anachoumwa ndipo mziendeleze hizi conspiracy theories zenu!.

Serikali makini itamshughulikia Sitta haraka iwezekanavyo, scrap him his ninisterial positions na kumpandisha kizimbani kwa kosa la "uchochezi"!.

sitta atawajibishwa kwa kosa la kuichonganisha serikali na wananchi wake, lengo lake likiwa ni nchi isitawalike!
 
Mkuu Pasco,

Nilitegemea ungesema hivyo hasa kwakuwa mhusika mkuu ni Rais wako mtarajiwa 2015 ingawa alama za nyakati zinazidi kumtenga.
Mkuu Ngongo, wewe uu miongoni mwa ma true great thinkers wa hili jukwa, mbona na wewe unafikiria ndani ya box tuu?!. Think outside the box, kwanza usikie anachoumwa ndipo tuendelee!.

Laiti ungelijua mimi na Mwakyembe tokoje vs mimi na El!.

Mimi nasubiri Sitta afikishwe kwa Pilato kwa uchochezi!.
P.
 
Kwenye katiba mpya tupendekeze kuanzishwa kwa chombo kipya huru cha uchunguzi, hawa polisi ni manyang'au tu! We need our own full fledged Independent Police Complaints Commission (IPCC) Ujinga wa DCI Kayumba utakwisha
 
Hajalishwa sumu lakini huenda kanyweshwa au kapakazwa au kanyunyuziwa au ..........simu
 
Hii ni kwa mujibu wa taarifa zilizotolewa na vyombo vya habari mchana wa leo. Katika maelezo yake, DCI anasema kwamba:

DCI alijibu kwamba:

"Kazi ya Jeshi la Polisi sio kuchunguza maradhi bali kuchunguza tuhuma, na baada ya uchunguzi wake kwa kushirikiana na Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Jeshi la Polisi limebaini kwamba tuhuma kwamba Dr. Mwakyembe amelishwa sumu hazina ukweli
."

Kama Polisi hawachunguzi maradhi DCI Kanumba anatoa report ya afya ya Dr Mwakyembe kama nani? Na huo uchunguzi wa Jeshi la polisi kwa kushirikiana na Wizara ya afya uliangalia mambo gani? Kama yeye DCI baada ya kufanya uchunguzi na kugundua kuwa Dr Mwakyembe hajalishwa sumu je, Dr Mwakyembe anasumbuliwa na maradhi gani? Huo uchunguzi unasema nini hasa? Kwa nini huyu Dr anavaa gloves kama malkia? ni fashion?
 
Maskini Mwakyembe...

Unafiki wake ndio umemponza. Kama angemaliza kabisa ile ishu ya Richmond kwa kuleta hata ule ushahidi aliosema kama ungewasilishwa pangechimbika, yote haya yasingemkuta. MWakyembe kigeu geu, Lowassa kigeu geu, Pinda kigeu geu, Manumba kigeu geu
 
sitta atawajibishwa kwa kosa la kuichonganisha serikali na wananchi wake, lengo lake likiwa ni nchi isitawalike!

Sita ana kiherehere, alolishwa sumu hajasema yeye akaropoka! Hivi kweli Mwakyembe apewe sumu asiseme?. Mimi nionavyo labda alipewa kemikali fulani au anaumwa ngoma au sukari!. Kuna mgonjwa wa kisukari namfahamu ukimwona ngozi yake nayo inatoa ukurutu!.
 
Back
Top Bottom