sajuki marehemu aligusa india.....lakini mwishimiwa huyu anaugulia bongoland hii hii,hapana mi nahisi kuna kitu hapa kinafukuta,TANZANIA-THE DRAMATIC LAND
Sifurahii mateso ya huyu jamaa, ila nasikitika tunapowapoteza watu kama hawa bila kutoa ya moyoni au hata maungamo ya mateso wanayowaachia watanzania maskini kwasababu ya tamaa za muda mfupi wa uhai wetu
Muulize Samuel Sita na Mwakyembe watakueleza, wakigoma kukujibu iulize Familia ya Mwangosi, ila ana mchango mzuri tu wa kuwakamata wanaotuhumiwa walimuuwa Kamanda Liberatus Barlow wa Mwanza.