Aisee! Sema sana omba yasikukute!Amesha danja huyo, wanatupotezaea tu ili kutujenga kisaikolojia ktk kupokea taarifa ya kifo chake.
Kazi ya Mungu haina makosa, Jina la Bwana lihimidiwe.
Kwa mema yepi??Pole sana Kamanda!...Mungu atakutendea Miujiza!
Its a moment whereby every citizen got to pray for him...
Do away with personals buddies, hakuna anayeomba kuugua!
Hata hivyo, Malaria HAIKUBALIKI!
Nyie watu imenibidi nicheke sasa. Aaa manumbaaaa!Mungu akufanyie unalostaili kufanyiwa!Hivi ni malaria tu au kuna lingine??? Kama ni malaria basi ni kiboko... au wenzake hawakumpa technics za kubadili blad???
Eeh Mwenyezi Mungu, mwingi wa rehema, mponye mtumishi wako Manumba kwa kuwa bado tunamhitaji ili akamilishe upelelezi wa kesi nyingi za mauaji ya kinyama yaliyofanyika chini ya utawala wa serikali hii dhaifu. Amina.
We unadhani ule mgomo wa madaktari,hasa hasa madai yao yalikuwa nini..." Mazingira bora ya kufanyia kazi" ilikuwa ina maana hiyo..
Wanasiasa wakaanza kupotosha eti helaa..helaa..
Kama wanavyopotosha ishu ya Mtwara na gas sasa hivi..
watujenge kisaikolojia akiwa kama nani hasa? Kwa uzito upi alionao?
Watu wamefiwa na wake/waume, watoto na ndugu zao wa damu na hawakujengwa kisaikolojia iwe huyo mtu baki...
Tunaendelea kuomba,iweje ponda amnyime dhamana?kwani ponda aliua?na uchafu mwingi tu huyu memba wa icu ameyafanya yalio kaa kihuni kihuni tu.sisi tunasoma kunut na duaa zingine kwa aajiri ya mkuu wa kupambana na rushwa na msajili wa vyama kwani wanamuda mrefu na hawataki kustafu mwenyezi awastafishe.na wale wengine woote wanao vitumia vyeo vyao kama fimbo amiii
Hivi kumbe alianzia Muhimbili ndo akapewa rufaa kwenda Aga Khan?!! Kati ya hizi mbili sijui ipi ya rufaa zaidi, tena kwa malaria (naamini serikali bado inawaamini madaktari wetu, hata baada ya ule mgomo).
Ila nakumbuka Zitto alianzia Aga Khan, akafu akapewa transfer kwenda Muhimbili
:confused2::confused2::confused2:
Aisee!Kazi ya Mungu haina makosa, Jina la Bwana lihimidiwe.
Kiongozi Tuko,Hivi kumbe alianzia Muhimbili ndo akapewa rufaa kwenda Aga Khan?!! Kati ya hizi mbili sijui ipi ya rufaa zaidi, tena kwa malaria (naamini serikali bado inawaamini madaktari wetu, hata baada ya ule mgomo).
Ila nakumbuka Zitto alianzia Aga Khan, akafu akapewa transfer kwenda Muhimbili
:confused2::confused2::confused2:
mchango wake mkubwa ktk hii nchi ni kutetea wahalif na kubambikizia watu makosa na mchango mkubwa zaidi ni kujaribu kuzorotesha harakati za cdmKabla sijatia neno,naombeni mnikumbushe mchango wake kwenye jamìi
Lkn pia inaonyesha huyu mgonjwa alishiriki kuratibu kutekwa kwa Ulimboka, hivyo wakubwa wanaogopa kisasi toka kwa ma dakitari.....!
hata mimi nasubiri lakini sijui nini!?