DC wa Iringa

DC wa Iringa

Mwacheni awatumikie wananchi. Inawezekana like box Jana zilikuwa gloves anazipeleka wodi ya wazazi hospital ya mkoa. Liacheni bull dozer likate mbuga.

Tetesi: Anachukua u RC apambane Na Msigwa.
Mkoa gani mkuu
 
Hivi ujangundua kama Magufuli anapenda watu aina hii?? Magu ana beleave kwamba watu wanaopenda ku show off ndio wachapa Kazi. Ila wale wanaofanya chini chini sio.
Mwaka huu tutaona vituko vya kila aina, kila mtu anabembeleza ajira kwa mtindo wake
 
kun
DC Kasesela anapenda sana kupiga picha.
a ile moja kapiga kambeba mwandishi wa habari wa kike full kukumbatia na kushika maungio..Ingekuwa wewe ungepewa kesi ya shambulio la aibu..
 
hata yeye anapenda show off
Hivi ujangundua kama Magufuli anapenda watu aina hii?? Magu ana beleave kwamba watu wanaopenda ku show off ndio wachapa Kazi. Ila wale wanaofanya chini chini sio.
 
unamaanisha ni jipu?
Sio jipu, Ila hii style ya "Quick Fix" nimejaribu kuperezi peruzi kwenye mitandao kuona kama inawezekana Ila hakuna. Ila mwisho wa siku unfair dismissal case zitakuwa nyingi, Compensation ndio usiseme.
 
944916_206896036352497_3360830282426923854_n.jpg
 
Back
Top Bottom