DC wa Iringa

Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,156
13,258
230195-9a4db47679946e9efaf29a1bef01ba9a.jpg
1919263_1212407042104526_1888488500777642733_n.jpg
blogger-image-418413525.jpg
download (1).jpg
 
Maigizo kila sehemu had kwenye misitu na mitoni tena sterling ndio anaongoza msafara
 
1. Kwani hana driver angalau amsaidie,?
2. Hivi huyu mwandishi amemwajiri kwamba kila alipo na yeye yupo?
3. Kwa sisi wataalam wa picha tunajua ipi ya kustukiza na ipi ya kupanga halafu alivyo hajui kupiga picha anamwangalia moja kwa moja mpiga picha kwi kwi kwi

Ama kweli msanii kazini
 
hyu jamaa akyamungu akipigwa chini lazima afe kwa presha, hivi amesomea nini maana anapigania kuupata tena UDC, mjomba angu Magu, mchinjie baharini hatuitaji maigizo serikalini ttnataka watendaji wakweli, huyu ni msanii mpereke , BONGO mOVIE.
 
Maigizo kila sehemu had kwenye misitu na mitoni tena sterling ndio anaongoza msafara
huyu ameona mnamasema sana so kwa sasa ameona aoneshe kweli mtasemaaaaa mwisho mtanyamaza ndio falsafa yake
 
  • Thanks
Reactions: PNC
jitihadi haiondoi kudra
hyu jamaa akyamungu akipigwa chini lazima afe kwa presha, hivi amesomea nini maana anapigania kuupata tena UDC, mjomba angu Magu, mchinjie baharini hatuitaji maigizo serikalini ttnataka watendaji wakweli, huyu ni msanii mpereke , BONGO mOVIE.
 
Huyu DC mimi na mwelewa ila wenye mawivu ya kiswahili ndio hamwachi kuwa na majungu jamaa anapiga kazi sana tena sana maana mimi sipo Iringa lkn huyo jamaa huwa yupo vizuri sana.
 
Wanakua na viherehere mpaka wananchi wao wanaanza kuwaiga. Kisa cha wale wa ligula kumpiga daktari na kumdhalilisha ni kutokana hawa hawa viongozi wapenda sifa
 
Huyu DC mimi na mwelewa ila wenye mawivu ya kiswahili ndio hamwachi kuwa na majungu jamaa anapiga kazi sana tena sana maana mimi sipo Iringa lkn huyo jamaa huwa yupo vizuri sana.

ila asiingie kwenye mitego ya kisiasa kama hivyo yeye ni techno structure hapo
 
Mwacheni awatumikie wananchi. Inawezekana like box Jana zilikuwa gloves anazipeleka wodi ya wazazi hospital ya mkoa. Liacheni bull dozer likate mbuga.

Tetesi: Anachukua u RC apambane Na Msigwa.
 
Back
Top Bottom