Zak Malang
JF-Expert Member
- Dec 30, 2008
- 5,404
- 234
Leo gazeti la Majira limemnukuu Mkuu wa Wilaya ya Igunga Fatuma Kimario akitabiri kwamba CCM itashinda tu Igunga. Kauli hii imekaa vipi kutolewa na kada mkuu wa CCM katika Wilaya hiyo ambaye anajificha nyuma la pazia la serikali? Inafaa CDM wawasilishe malalamiko yao kwa NEC mara moja.
Isitoshe huu utakuwa ni ushahidi mkubwa katika kesi ya CDM ya kupinga matokeo iwapo mgombea wa CCM atashinda.
Isitoshe huu utakuwa ni ushahidi mkubwa katika kesi ya CDM ya kupinga matokeo iwapo mgombea wa CCM atashinda.