DC wa Igunga atabiri ushindi kwa CCM -- hii imekaaje?

Hii ni nchi ya vyama vingi ndugu yangu. Sasa kama sera zenyewe za Chadema ni kupiga ma DC usitarajie hao hao unaowapiga wakushabikie.

Acha majibu mepesi mepesi kaka jibu swali uliloulizwa la kikatiba please

na miak 33 yako upo UDOM mwaka wa 1 nni???sijui katiba ipi unaizungumzia???au unasikia tu kila kitu kipo kwenye katiba na unadhani kuna kipengele kinamzungumzia DC,yule ni ceremonial leader tu

mkuu,huyu Mwita ni kilaza vibaya mno. Hana analojua huyu zaidi ya kutetea magamba na posho kwa Nape.

Kwa upande mwingine ni bora hilo sakata la DC huyo lilivyozuka -- maana nafasi ya ma-DCC sasa inaanikwa wazi. Tumekuwa nao tangu wakati wa ukoloni ambapo walikuwa wanamwakilisha gavana katika kuzidisha ukoloni na ukandamizaji. Baada ya uhuru Nyerere aliwabadilishia majina na wakaitwa Area Commissioners (AC) lakini walikuwa wakifanya kazi ile ile ingawa this time ilikuwa ni kwa niaba ya Rais.

Baada ya vyama vingi kuingia wakarudishiwa majina ya DC na kazi yao kubwa ni kuhakikisha ushindi wa chama tawala. Kama katiba mpya itakuja, hawa wasiwepo kabisa, hawasaidii maendeleo ya maeneo yao wala kuzidisha utawala wa demokrasia. Wameshindwa hata kuzuia ufisadi katika halmashauri za maeneo yao! Kwa ujumla hawana tija yoyote kwa taifa!

amelifanya hili kwa hasira tu siyo ukerereketwa kwasababu alipigwa na kudhalilika siku ile, sasa angetabiri waliompiga wanashinda! yupo sahihi kabisa

Wewe mwenyewe kodi ya nyumba unayoishi ni mtihani kulipa halafu unipe mil 1 mimi? Au ndiyo mbinu za kupiga mizinga?

Kama unakubali kutumika kwa ujira wa sh. 55,000 kodi ya nyumba utaiweza wapi kama si kwa hisani ya nape? Vijakazi wa nape ni very cheap kama mabeki tatu!

DC ni mjumbe wa kamati ya siasa ya CCM Wilaya. Anapoongea inabidi uangalie platform, je anaongea kama kiongozi wa CCM au wa serikali. Kwa sasa katiba inaruhusu. kama inatukera, turekebishe katiba kwanza.

Katiba ipi ya tanzania inayowatambua ma dc let alone kuruhusu huo upuuzi unaofanywa na dc na wewe unaushabikia.

Kifungu gani cha katiba ya nchi ulichosoma kama sio katiba ya magamba?

1.jpg

Mwigulu Nchemba asijewadanganya macho maana umati huu umekusanyika kumshangaa alnavyoharibu wake za watu,

Na wapi zilipo sera za mapolisi wa magamba kuwauwa kwa risasi raia wasiokuwa na hatia? Una nazi badala ya kichwa?

Unafikiri zile SMG zenye risasi halisi na sio Damis zinafanya kazi wakati gani? au hao Polisi wamepewa kwa sera zipi. bahati yenu ile juzi hawakuwa karibu, mungekiona cha moto.

DC wa Igunga anayo haki ya kikatiba ya kushabikia na hata kuwa na kadi ya chama chochote cha siasa. Tatizo letu magwanda wengi wenu ni wavivu wa kusoma kwahiyo hata katiba yenu hamuielewi.

Kama mtizamo wako ni huo na katiba unaifahamu je hao aliokuwa nao kwenye kikao hawana haki ya kuamua kuhudhuria kampeni? huoni kwa kuamua kufanya nao kikao kwa sababu ni boss wao amewanyima haki ya msingi ya kwenda kusikiliza sera za mgombea ili waamue kumchagua mbunge wao! Na hapo inatafsiriwa ni kuvunja haki za msingi za binadamu na katiba unayosema unaifahamu. Kasome part three ya katiba acha kuongea pumba dogo!

1.jpg

Mwigulu Nchemba asijewadanganya macho maana umati huu umekusanyika kumshangaa alnavyoharibu wake za watu,
Duuuh! CCM kumbe noma aisee,, yaani watu nyomi kiasi hiki? Kwa maneno nilokuwa nayasoma humu, nilidhani hawapati watu kabisa. Hawa jamaa watashinda.....Mark my words........tutarudia tena maneno haya baada ya tarehe 2 October.

DC wa Igunga anayo haki ya kikatiba ya kushabikia na hata kuwa na kadi ya chama chochote cha siasa. Tatizo letu magwanda wengi wenu ni wavivu wa kusoma kwahiyo hata katiba yenu hamuielewi.

Kwa kweli Mwita25 anafanya kazi nzuri sana ya kuitetea Magamba. Angalieni wakuu:-

Join date: 15th April 2011
Total Post 1067

Kwa maana hiyo tangu amejoin humu ndani leo ni siku yake ya 156. So ukipiga avarage ya post zake utaona kwamba anapost 6.83 post per day. Aproximately 7 post / day.

Hongera Mwita25 kwa kazi aliyokupa Nape ila hujatuambia unalipwa Shilingi ngapi kwa kazi hii ngumu uliyopewa.

Leo gazeti la Majira limemnukuu Mkuu wa Wilaya ya Igunga Fatuma Kimario akitabiri kwamba CCM itashinda tu Igunga. Kauli hii imekaa vipi kutolewa na kada mkuu wa CCM katika Wilaya hiyo ambaye anajificha nyuma la pazia la serikali? Inafaa CDM wawasilishe malalamiko yao kwa NEC mara moja.

Isitoshe huu utakuwa ni ushahidi mkubwa katika kesi ya CDM ya kupinga matokeo iwapo mgombea wa CCM atashinda.

kumbe siku ile walikosea huyu wange mvua nguo zote maana ni mwanga

Kwa kweli Mwita25 anafanya kazi nzuri sana ya kuitetea Magamba. Angalieni wakuu:-

Join date: 15th April 2011
Total Post 1067

Kwa maana hiyo tangu amejoin humu ndani leo ni siku yake ya 156. So ukipiga avarage ya post zake utaona kwamba anapost 6.83 post per day. Aproximately 7 post / day.

Hongera Mwita25 kwa kazi aliyokupa Nape ila hujatuambia unalipwa Shilingi ngapi kwa kazi hii ngumu uliyopewa.

Bila hii kazi anayofanya tungeshampoteza zamani mbona, hamna binadamu mwenye akili timamu anaweza kuajiriwa kwenye hiyo sekata yake, hahahaah! Ndio Tanzania ilipofikia jamani, kuanzisha jeshi la msituni kwenye hii nchi ni rahisi sana.

Nasikia alikuwa mkristo zamani ukuu wa wilaya alipewa kwa masharti ya kusilimishwa,njaa noma!

DC ana haki ya kueleza vile anavyofikiri kuwa itakuwa. Hayo ni mawazo yake tusimpinge. Chadema tukomae kuhamasisha wananchi.

Hakuna shida kama atapiga kura basi ajue ya kwake ni moja na watu hawadanganyiki tena!

mwita ni limbukeni, hakuna hoja ya msingi anayoijibu anambwelambwela na hoja asizoziweza .
Haya ndo matatizo ya kuwa kwenye chama kwa ajili ya kutimiza maslai ya mafisadi huku wananchi wakikosa uwakilishi
huku maisha kuendelea kuwa magumu.
HIVI HEMBU TUJIULIZE KIJANA GANI YUPO CCM KWA MASLAHI YA WANAINCHI(VIJANA) AU NI KUWAWAKILISHA MAFISADI2 KWA NJIA ZA VIFICHO.

DC wa Igunga anayo haki ya kikatiba ya kushabikia na hata kuwa na kadi ya chama chochote cha siasa. Tatizo letu magwanda wengi wenu ni wavivu wa kusoma kwahiyo hata katiba yenu hamuielewi.

A man of 33 can not comment upuuzi wa namna hii. Wewe usiye mvivu wa kusoma mbona hujui mipaka ya kazi za dc! Au ndio unajifanya hamnazo!?

na miak 33 yako upo UDOM mwaka wa 1 nni???sijui katiba ipi unaizungumzia???au unasikia tu kila kitu kipo kwenye katiba na unadhani kuna kipengele kinamzungumzia DC,yule ni ceremonial leader tu

namshangaa NEPI, anatoa posho kwa vilaza... Elimu zero, they don ve any fact, bure kabisa... Mwita25 kasome kaka so unalopoka tuu...

Back
Top Bottom