DC Msando atinga kanisani wanaposali waumini wa Gwajima

DC Msando atinga kanisani wanaposali waumini wa Gwajima

Mjinga ni wewe.....!

Huoni Kanisa Katoriki walipozuia Viongozi wa Siasa kuongea madhabauni Nini kilitokea....!?

Unadhani Msando alienda kusali ama kujikosha tu pale, unadhani Mungu anapenda Unafiki, unadhani kilichompelea pale ni Dhambi....!?

Kama kutubu ndiyo kulimpeleka pale angeweza kufanya hivyo ofisini kwangu.....! Na nikamwombea Toba....!

Wamepiga Waumini na kuwaumiza, hata walipoenda kujibanza Kwa Kanisa la Jirani wakaenda kuvunja na Kanisa lenyewe.....!
Na wewe hujui wewe
Dhambi toka lini unaungama kwa mtu?

Katoliki wamepiga marufuku vitu hewa.Wanajitekenya na kucheka wenyewe

Wao wenyewe ndio waliokuwa wakiwaalika wanasiasa waongee.Walikuwa hawajialiki
Akiwemo hatavTundu Lisu mara kadhaa akienda kusali alikuwa anapewa nafasi na mapadre na maaskofu aongee

Hilo katazo la katoliki limekaa kijinga tu.Hakuna mtu alikuwa akiomba aongee

Msando kasali katoa sadaka kisha akaondoka zake
 
Na wewe hujui wewe
Dhambi toka lini ubaungama kwa mtu?

Katoliki wamepiga marufuku vitu hewa.Wanajitekenya na kucheka wenyewe

Wao wenyewe ndio waliokuwa wakiwaalika wanasiasa waongee.Walikuwa hawajialiki
Akiwemo hatavTundu Lisu mara kadhaa akienda kusali alikuwa anapewa nafasi na mapadre na maaskofu aongee

Hilo katazo la katoliki limekaa kijinga tu.Hakuna mtu alikuwa akiomba aongee
Sasa ndiyo uelewe Kwa Nini Kanisa Katoriki limepiga Marufuku Wanasiasa kuongea Kanisani Kwa Sababu ya Unafiki.

Kuhusu kufanya Toba sio lazima uende Kanisani, kama Msando aliona amemkosea Mungu, angeweza Kuomba Toba hata Nyumbañi kwake.

Alichofanya ni Unafiki ambao wengine sisi hatupendi Unafiki....! Na Mungu ndiyo hapendi Unafiki kabisa.

Ni Mnafiki tu anaweza kuona kawaida pale mwingine akifanya Unafiki.
 
Pongezi nyingi kwake kwa zoezi hili muhimu.
Zoezi gani acha unafiki na wewe,
Si ndo huyu na wenzie ndo walikuwa wanawa harrass waumini? Haya sasa waumini wapo imara wao ndo wameanza kulegea. Shame on them!!
 
Alichofanya ni Unafiki ambao wengine sisi hatupendi Unafiki....! Na Mungu ndiyo hapendi Unafiki kabisa.
Wewe kwani ni Mungu kujua yaliyokuwa moyoni mwake kama alikuwa mkweli au mnafiki?

Mungu ka kukaimu lini madaraka yake ya kujua yaliyomo ndani ya mioyo.ya watu na kukukabiddhi wewe?
 
Wewe kwani ni Mungu kujua yaliyokuwa moyoni mwake kama alikuwa mkweli au mnafiki?

Mungu ka kukaimu lini madaraka yake ya kujua yaliyomo ndani ya mioyo.ya watu na kukukabiddhi wewe?
Kama Maandishi tu hujui kusoma, hata Picha huoni kwa yanayoendelea Tanzania.....!

Basi utakua na Upungufu wa Akili.
 
Mkuu wa wilaya ni amiri jeshi wa wilaya
Kwa viongozi wa Jeshi walioko wilayani mwake aweza kuwapa amri za utekelezaji majumkumu ndani ya wilaya yake ndio masna majeshi yote na viongozi wao waliomo.wilayani humpigia saluti
Saluti hata RPC Kova alipigia Jeneza la Kanumba usiwe mpumbaf

Mwenyekiti wa Kamati ya ulinzi na usalama wilayani siyo Amiri Jeshi mkuu tena Boss wake ni mwenyekiti wa CCM wilayani 😂
 
Saluti hata RPC Kova alipigia Jeneza la Kanumba usiwe mpumbaf
Kupigia maiti saluti ni special case dunia nzima kwa askari yeyote sio Tanzania
Majeshi yote duniani huapa kufa kwa ajili ya binadamu wengine wakiwemo raia

Akifa kuonyesha maskitiko yao kwa mtu waliyeapa kumlinda abaki hai akiondoka duniani humpia Saluti ya kumuaga kwa heshima .Kuwa umeondoka mheshimiwa wetu
 
Mwenyekiti wa Kamati ya ulinzi na usalama wilayani siyo Amiri Jeshi mkuu tena Boss wake ni mwenyekiti wa CCM wilayani 😂
Mwongo mkubwa wewe

Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Wilaya nchini Tanzania huwa ni Mkuu wa Wilaya (District Commissioner).

Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Wilaya ni chombo cha kisheria kinachosimamia masuala ya usalama, amani, na utulivu ndani ya wilaya. Hii kamati huwa na wajumbe kutoka vyombo mbalimbali vya usalama kama vile:

  • Jeshi la Polisi
  • Jeshi la Wananchi (ikiwa inahusika)
  • Idara ya Usalama wa Taifa
  • Magereza
  • Uhamiaji
  • TAKUKURU (wakati mwingine)
  • Maafisa wengine wa serikali kulingana na mahitaji ya usalama

Kwa hiyo, Mkuu wa Wilaya (DC) ndiye mwenyekiti rasmi wa kamati hii na huwa na jukumu la kuratibu na kusimamia utekelezaji wa mikakati ya usalama katika wilaya.
 
Hii nchi ni ya kip
View attachment 3412116
Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Albert Msando amefika kusali pamoja na waumini wa kanisa la Glory of Christ (Ufufuo na Uzima) wanaosali katika ukumbi wa Tanzanite jijini Dar es Salaam.

View attachment 3412114
Awali kabla hajafika Naibu Katibu mkuu wa Kanisa hilo, Maximilian Machumu maarufu Askofu Mwanamapinduzi, aliwauliza waumini kama DC Msando kama amefika kwenye ibada yao, baada ya kiongozi huyo kuahidi kufika katika ibada hiyo wiki iliyopita.
umbavu na ina drama failed state kwahiyo hiyo nayo ni habari ya kuipa headache? Taifa linawaza ujinga ujinga tu na siasa za majitaka
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom