hapo hawajawachapa, wamewanyonga.mzazi anayenyonga na kukomoa mtoto hafai, ajue mtoto naye akipata nguvu wakati yeye ni mzee atajirudishia. hakuna ubaya uanendaga bure. kaeni vizuri na watoto wenu.Mtoto anachapwa akileta ujinga
Walisali na kuondoka kwa amani hivyo polisi hawakuhangaika naoLeo mapolisi hawakuwepo kupiga mabomu? Kwa nini Msando hajapigwa mabomu ya machozi? Au kanisa limefunguliwa kinyemela?
Kaamua ajirudi mapema sana baada ya kuchungulia mbele kaona dereva kaachia mikono🤣Kiki
Au anaomba poo maana mambo yako kasi sana 😂🇹🇿
Ndie amiri jeshi mkuu wa wilaya kiongozi wa kamati ya ulinzi na usalama ya wilaya kaenda kuangalia usalama pia kama kanisa limetulia na kuwa kama sasa wameamua agenda yao iwe kunwabudu Mungu tu sio mambo mengine na kurudisha ripoti kamati ya ulinzi na usalama ya wilayaKaamua ajirudi mapema sana baada ya kuchungulia mbele kaona dereva kaachia mikono🤣
Unaelewa maana ya Amiri Jeshi mkuu?Ndie amiri jeshi mkuu wa wilaya kiongozi wa kamati ya ulinzi na usalama ya wilaya kaenda kuangalia usalama pia kama kanisa limetulia na kuwa kama sasa wameamua agenda yao iwe kunwabudu Mungu tu sio mambo mengine na kurudisha ripoti kamati ya ulinzi na usalama ya wilaya
Ndio maana hadi polisi wamepunguzwa idadi pale waliposali leo
Ohoo kumbe? Haya sawaNdie amiri jeshi mkuu wa wilaya kiongozi wa kamati ya ulinzi na usalama ya wilaya kaenda kuangalia usalama pia kama kanisa limetulia na kuwa kama sasa wameamua agenda yao iwe kunwabudu Mungu tu sio mambo mengine na kurudisha ripoti kamati ya ulinzi na usalama ya wilaya
Ndio maana hadi polisi wamepunguzwa idadi pale waliposali leo
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣View attachment 3412116
Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Albert Msando amefika kusali pamoja na waumini wa kanisa la Glory of Christ (Ufufuo na Uzima) wanaosali katika ukumbi wa Tanzanite jijini Dar es Salaam.
View attachment 3412114
Awali kabla hajafika Naibu Katibu mkuu wa Kanisa hilo, Maximilian Machumu maarufu Askofu Mwanamapinduzi, aliwauliza waumini kama DC Msando kama amefika kwenye ibada yao, baada ya kiongozi huyo kuahidi kufika katika ibada hiyo wiki iliyopita.
Mkuu wa wilaya ni amiri jeshi wa wilayaUnaelewa maana ya Amiri Jeshi mkuu?
Hilo litakuwa sio kanisa .Walimpa Nafasi ya kuongea....!?
Ningekua Mimi ni Mchungaji ningefunga Mlango wa Kanisa then tungeendelea na Ibada.
Kasoma upepoView attachment 3412116
Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Albert Msando amefika kusali pamoja na waumini wa kanisa la Glory of Christ (Ufufuo na Uzima) wanaosali katika ukumbi wa Tanzanite jijini Dar es Salaam.
View attachment 3412114
Awali kabla hajafika Naibu Katibu mkuu wa Kanisa hilo, Maximilian Machumu maarufu Askofu Mwanamapinduzi, aliwauliza waumini kama DC Msando kama amefika kwenye ibada yao, baada ya kiongozi huyo kuahidi kufika katika ibada hiyo wiki iliyopita.
Mjinga ni wewe.....!Hilo litakuwa sio kanisa .
Kanisa liko wazi kwa kila mtu wenye dhambi pia wakiwemo kuhudhuria ibada mjinga wewe