DC mpya wa Ikungi, Singida atumbuliwa ndani ya masaa 24

ZAMANI KABLA AUJATEULIWA UNAKUJA WANACHUNGUZA MPAKA NA MGFRIEND ZAKO KAMA N WACHAWI AMA WAGANGA WA KIENYEJI AMA WANAJIUZA BADAE UNAITWA MNAPELEKWA SWMINA YA UONGOZI BILA KUAMBIWA UNAKUTANA NA JINA .....HAPO USALAMA WASHAZUNGUKA NA WEWE KAMA N MPENZI WA GUEST ZA SINZA SUKUMA HAPAA WANAMFWATA MANYWELE WANAMWOMBA RATIBA ZAKO KILA UKIINGIA NAO WANAINGIA NA MWANAMKE KUMBE WAKOKAZINI WAKITOKA HAPO WANAFUNGA FILE....HAJAA UNASHANGAA HATA HIOSEMINA UMEISHIA KULA PERDIEM WANAKUBADILISHA SO NGUMU KUKUTA HAYA MAMBO..ILA KWANGU KAMA RAIS NAMPONGEZA SABABU KUJUA MCHAWI MAPEMA NAYO N USHINDI
 
Yaani ndani ya saa24 amesha misbehave? Kabla hata ya kuapishwa?
 
Nimeshangazwa na makosa ya uteuzi wa wakuu wa wilaya kwamba wameteuliwa hata ambao ni hewa.
Baada ya uteuzi wakafutwa tena/kutenguliwa uteuzi wao kwamba ulifanyika kimakosa.

Aliyrwateua anasema ALIWACHUNGUZA SANA

Lakini hatimaye pamoja na uchunguzi,bado ulifanyika uteuzi hewa...safari ni ndefu kama hewa inaingia mpaka ofisi kuu
 
..uzi wangu naona umefutwa.

..ngoja nimtonye bosi labda atawatumbua hawa moderators.

BAK, Mag3, Richard, Maxence Melo
Usishangae JokaKuu, hata mimi nimekuwa nikianzisha thread Jukwaa la Siasa lakini hazitokei na sasa nimeamua kuchangia tu za watu wengine. JF nadhani imeingiliwa na kwa sasa michango iliyojaa utadhani imeandikwa na watoto wa Chekechea na hasa ile inayomsifu Magufuli na serikali yake. JF si tena forum where we dare, imekuwa kama jamvi la Lumumba sycophants!
 
Labda ule mtambo wa kichina wa kutimiza ndoto ya mkulu umeanza kazi, si unakumbuka alisema anaomba malaika wa kufunga mitambo ashuke!! JF maudhi tu sasa
 
Mmmh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…