Wanajifanya Stephano mtumishi wa Mung.Wacha apigwe maana anaingilia kazi zisizo zake! Dc amepata mamlaka wapi ya kufunga chuo?
Naona hakujua watu wa mbeya wameelimika,hawataki ujinga.na hao wanafunzi walijua Dc hana mamlaka ya kufunga chuo ndo mana wakamchapa.
DC ana mamlaka ya kufunga chuo cha uuguzi?
Brilliant. Huyu Dc angekuwa na akili kama ktk bold, angekuwa wa maendeleo. One of these days, ninavyoona, kuna mmojawao atapatikana na makubwa zaidi. Mara Dc kawachapa waalimu viboko, mara kamtukana mwanasheria wa Halmashauri, mara kaamuru kuvunjwa nyumba za raia.Hawa watawala inabidi waangalie namna ya kufanya kazi na wananchi, wasichukulie kuwa nyakati zimeganda. Wakae wakijua raia wana hasira na wanatafuta sehemu ya kuzitolea. Mfano angeweza kabisa kusaidia chuo kisajiliwe ili kitoe huduma kihalali badala ya kukifunga.
Hao wanafunzi watakuwa wanavuta bangi tu. Haiwezekani umpige mawe mtu ambaye ana umri sawa na wazazi wako. Mitoto ya siku hizi haina adabu kabisa kwasababu ya mindumu.
Domy
Huku mbeya kunanidham si unakumbuka hata mkuu wa kaya alinusulika kichapo huko mbuyuni na kanga hapo kabla.
Huku raia hawataki kejeri, nadhani bado wanamvutia muda yule muwekezaji anaewasumbuwa mbalali nadhani ni muda tu mtamsikia siku moja.
Watu wanataka haki na kuheshima. kandolo amejifunza na wamemuheshimu kwa sasa baada ya kumtia adabu alipojifanya kichwa ngumu.