DC Makonda anakula nchi/maisha

DC Makonda anakula nchi/maisha

Nilidhani ni mkulu tu anayemkubali daimondo Kumbe magamba wote hadi chini!
 
Kwa hiyo ulitaka akitoka kazini aende kulala. Nae ni binadamu bana sio kwamba amepata UDC ndo astaafu kufanya private life yake
 
Ukibishana na mtu asiyejua Unaweza kujitafutia ugonjwa. DC - Kirefu Chake ni district Commissioner. Hilo neno KAMISHNA maana yake ni cheo kinachoteuliwa na Rais.
Si kila kitu Unaweza kukifanya ukiwa na cheo Chochote mahali popote na yeyote. kila Kazi Au cheo kina maadili na miiko yake. Haijalishi unapenda Au hupendi una wajibu wa kufuata na kutii.
Msilete interest binafsi kwenye interest za kutumikia umma. Kiongozi ni kioo kwa umma, kila afanyalo ina reflection yake kwa Jamii.
 
ile sheria ya mitandao imeanza kutumika?

imeanza...ila kwa maslah ya wenye nchi...wenzangu na mm tutaendelea kutumiana tu picha za utupu haina shida...ila chonde chonde usiingilie ulaji wa mtu!
 
kumbe kupiga picha na mademu nayo ni kula raha .
 
Mimi simlaumu huyu DC mana bado ni kijana sana, hata mimi ningepewa hicho bado ningeendelea kufanya mambo yangu ya ujana. Wakulaumiwa hapa ni mkuu wa kaya kuwabebesha watoto watoto wa watu majukumu makubwa. Rais wetu ni kiboko jamani, muangalieni mkuu wa mkoa wa mtwara ebwana asikuambie mtu ukiingia ofisini kwake utaomba usitoke, akikuangalia tu hivi unahisi anakuchekea, akisimama ageuke nyuma nakwambia huwezi kuinuka mana winchi itakuwa imeunika.
 
Ukibishana na mtu asiyejua Unaweza kujitafutia ugonjwa. DC - Kirefu Chake ni district Commissioner. Hilo neno KAMISHNA maana yake ni cheo kinachoteuliwa na Rais.
Si kila kitu Unaweza kukifanya ukiwa na cheo Chochote mahali popote na yeyote. kila Kazi Au cheo kina maadili na miiko yake. Haijalishi unapenda Au hupendi una wajibu wa kufuata na kutii.
Msilete interest binafsi kwenye interest za kutumikia umma. Kiongozi ni kioo kwa umma, kila afanyalo ina reflection yake kwa Jamii.

Mwenye masikio na asikie
 
Mimi simlaumu huyu DC mana bado ni kijana sana, hata mimi ningepewa hicho bado ningeendelea kufanya mambo yangu ya ujana. Wakulaumiwa hapa ni mkuu wa kaya kuwabebesha watoto watoto wa watu majukumu makubwa. Rais wetu ni kiboko jamani, muangalieni mkuu wa mkoa wa mtwara ebwana asikuambie mtu ukiingia ofisini kwake utaomba usitoke, akikuangalia tu hivi unahisi anakuchekea, akisimama ageuke nyuma nakwambia huwezi kuinuka mana winchi itakuwa imeunika.
Tuwekee picha mkuu

kishkaji sana:
 
Umetisha aisee.
 
Ati huyu ndo akasuluhishe migogoro ya Ardhi Kindondoni!!!Kuuza Nyago ndo kunamfaa kama hivi

Sasa hawa ndio wanaakaa na kumshauri DHAIFU jinsi ya kutawala nchi!! Yale maji aliyoambiwa ayanyonye kule BASIHAYA aliyamaliza? Utawala wa nchi sio lelemama na ndio maana jamaa anaomba October ije haraka akacheze goroli na wajukuu!!
 
Haijulikani, inadaiwa itaanza kutumika "siku za usoni" lakini tarehe rasmi ya kuanza kutumika sheria hii kandamizi inafanywa siri.

ile sheria ya mitandao imeanza kutumika?
 
Haijulikani, inadaiwa itaanza kutumika "siku za usoni" lakini tarehe rasmi ya kuanza kutumika sheria hii kandamizi inafanywa siri.
Na ile ya TV kujiunga na TBC kwenye taarifa ya habari?hii nchi viongozi wake wanatia kichefuchefu hasa Ridhiwani na January?wanataka tusiwe tunasema mabaya ya serikali.Wanataka tuwe ka Korea kaskazini
 
  • Thanks
Reactions: BAK

Similar Discussions

Back
Top Bottom